GE2025 Mpina: Nampongeza Lissu kwa Uzalendo wake, Mungu hatomuacha, aikubali 'No Reforms No Election'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameonekana kuunga mkono kampeni ya 'No reform No election' ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huku akimponge mwenyewe wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.

Hivi kwanini CHAUMMA wasiungane na ACT? wao ndio kwanza wanataka muungano na CUF sio ACT!! kuna namna upinzani wa Tanzania upo compromised sana na CCM.
 
Kabisa, maana walikuwa wanasema tatizo ni cdm, sasa wamebaki wenyewe waungane. Ama Mbowe na Zito hawapikiki chungu kimoja?
 
Pengine Mbowe anaona aibu kumfuata mhanga wa udikteta wake. Ila wote wapo chini ya mfadhili mmoja so wanasubiri maelekezo ya chamwino
 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameonekana kuunga mkono kampeni ya 'No reform No election' ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huku akimponge mwenyewe wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.

Amen.

Ngosha hapa ameongea vema. Amaanishe sasa kwa vitendo aliyoyasema hapo.

amenikosha sana alipotoa fact ya "Mungu hawezi kumwacha Tundu Antipas Lissu. Tuko naye nega kwa bega" kumtaja Mungu ni jambo zuri sana, maana ndiye atakayetutoa hapa tulipokwama kama taifa. Hakuna mwanadamu awezaye. Wenye nguvu za mamlaka (madaraka)na fedha wameungana kuliua taifa
 
Pengine Mbowe anaona aibu kumfuata mhanga wa udikteta wake. Ila wote wapo chini ya mfadhili mmoja so wanasubiri maelekezo ya chamwino
Yaani huyo Mbowe hata kwenda Chauma bado anaona aibu, maana alitarajia wawe na nyomi baada ya kuitanguliza team yake, lakini haoni alichokitegemea.
 
Duh, ila kwenye clip sijamsikia akisema NRNE.
 
Hivi kwanini CHAUMMA wasiungane na ACT? wao ndio kwanza wanataka muungano na CUF sio ACT!! kuna namna upinzani wa Tanzania upo compromised sana na CCM.
Hawa wahamiaji chaumma walichangia katika mzozo wa Zitto kufukuzwa chadema.

Zitto anao udhaifu kama mwanadamu, lakini kufukuzwa kwake kulijaa hila na uzushi.
 
Back
Top Bottom