Mpina ataja sababu za kuhama CCM

Mpina ataja sababu za kuhama CCM

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Aliyekuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiti tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina ameeleza sababu zilizomfanya kuondoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuhamia ACT Wazalendo.

Soma pia: Bwege: Mpina siyo katoka CCM, kafukuzwa, akufukuzaye hakwambii toka



Source: Global Online tv
 
Hana jipya. Baada ya uchaguzi anarudi CCM na kupokelewa kwenye Mkutano Mkuu wa chama. Sidanganyiki.
 
Back
Top Bottom