GE2025 Mpina apingwa kugombea urais ACT Wazalendo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Elias Msuya

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
173
Reaction score
671
photo_2025-08-16_09-28-06.jpg

Mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amepingwa kugombea urais baada ya Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam na Naibu Waziri Kivuli wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Monalisa Joseph Ndala, kumwandikia barua Katibu Mkuu wa Chama hicho akipinga mchakato uliomteua Mgombea Urais wa chama hicho, Luhaga Mpina.

Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku moja tu baada ya Mpina kufika makao makuu ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndejengwa jijini Dodoma kuchukua fomu ya kugombea urais baada ya kupitishwa na mkutano mkuu wa chama hicho Agosti 7, 2025.

Mpina alijiunga na chama hicho Agosti 5 na kutambulishwa rasmi Agosti 6, 2025, akitokea CCM.

Akizungumza na Jamii Forums leo Agosti 16, Monalisa amethibitisha kupeleka barua yake kwa Katibu Mkuu wa chama hicho akipinga Mpina kupitishwa kuwa mgombea.

Katika barua yake hiyo ambayo pia amewanakili Msajili wa Vyama vya Siasa na Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), ameelezea namba vifungu namba 16 (4), (i),(iii) na (iv) vinavyomzuia kuwa Mgombea wa Chama hicho.

“Ni kweli nimewasilisha barua hiyo jana (Agosti 14, 2025),” amesema.

Kwa mujibu wa barua hiyo, ili mgombea Urais wa ACT WAZALENDO ateuliwe na Chama hicho, anatakiwa awe Mwanachama wa Chama hicho kwa siku 30 kabla ya kuteuliwa kwake kifungu ambacho Mpina kinamkataa.

Katibu Mkuu wa chama hicho, Ado Shaibu alipotafutwa kuulizwa suala hilo, amesema, “Kwa sasa nipo kwenye kikao, tutaongea baadaye,” amesema.

Monalisa amenukuliwa na vyombo vingine vya habari akisema yeye ni mwanachama wa chama hicho tangu kinaanzishwa na kwamba hayupo tayari kukiona chama hicho kikipoteza mwelekeo kwa kukiuka kanuni za uendeshaji wa Chama chao kama inavyoelezwa katika kanuni za uendeshaji wa Chama za mwaka 2015 na marejeo yake ya mwaka 2024.
 
Huyo Monalisa kwa nini asisomewe Kurjuan apate kiharusi au afe kabisa?
 
Smartness ya watu wa CHADEMA ndiyo huwafanya wapenye kirahisi kwenye mitego ya CCM na CCM ikilazimisha mambo huonekana inawaonea CHADEMA 😆😆😀

Kama kweli wana kifungu kama hicho basi kweli Mpina OUT!

Jee Mpina siyo Project yao?
 
Kuna mambo Mpina na ACT wazalendo wameshindwa kukubaliana kuhusu Kazi maalum 😂
 
At the same time CCM wamevunja kila taratibu ya Tume
 
Siri hii itakuwa imetoka CHAUMMA wanapoona wanaenda kupoteza Wabunge wa Viti Maalum kwenda ACT-Wazalendo.
 
Kuna mambo Mpina na ACT wazalendo wameshindwa kukubaliana kuhusu Kazi maalum 😂
Naunga mkono , otherwise wanatafuta kick .

Japo binafsi naiona ICT na Mpina mwenyewe kwa ujumla ni kama waliingia kwenye mchakato pasipokuwa na maandalizi yakutosha .

Nje ya ushiriki wa Chadema siasa za Tanzania zinakuwa hazina tofauti na vigodoro tu.

Tukubali au tukatae ila vyama vingi vinapataga kick kupitia Chadema .
 
View attachment 3442759

Mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amepingwa kugombea urais baada ya Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam na Naibu Waziri Kivuli wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Monalisa Joseph Ndala, kumwandikia barua Katibu Mkuu wa Chama hicho akipinga mchakato uliomteua Mgombea Urais wa chama hicho, Luhaga Mpina.

Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku moja tu baada ya Mpina kufika makao makuu ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndejengwa jijini Dodoma kuchukua fomu ya kugombea urais baada ya kupitishwa na mkutano mkuu wa chama hicho Agosti 7, 2025.

Mpina alijiunga na chama hicho Agosti 5 na kutambulishwa rasmi Agosti 6, 2025, akitokea CCM.

Akizungumza na Jamii Forums leo Agosti 16, Monalisa amethibitisha kupeleka barua yake kwa Katibu Mkuu wa chama hicho akipinga Mpina kupitishwa kuwa mgombea.

Katika barua yake hiyo ambayo pia amewanakili Msajili wa Vyama vya Siasa na Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), ameelezea namba vifungu namba 16 (4), (i),(iii) na (iv) vinavyomzuia kuwa Mgombea wa Chama hicho.

“Ni kweli nimewasilisha barua hiyo jana (Agosti 14, 2025),” amesema.

Kwa mujibu wa barua hiyo, ili mgombea Urais wa ACT WAZALENDO ateuliwe na Chama hicho, anatakiwa awe Mwanachama wa Chama hicho kwa siku 30 kabla ya kuteuliwa kwake kifungu ambacho Mpina kinamkataa.

Katibu Mkuu wa chama hicho, Ado Shaibu alipotafutwa kuulizwa suala hilo, amesema, “Kwa sasa nipo kwenye kikao, tutaongea baadaye,” amesema.

Monalisa amenukuliwa na vyombo vingine vya habari akisema yeye ni mwanachama wa chama hicho tangu kinaanzishwa na kwamba hayupo tayari kukiona chama hicho kikipoteza mwelekeo kwa kukiuka kanuni za uendeshaji wa Chama chao kama inavyoelezwa katika kanuni za uendeshaji wa Chama za mwaka 2015 na marejeo yake ya mwaka 2024.
Hao akina monalisa na luhaga wote wanakijua chama hicho kina wenyewe wazee wa takbir au wamevamia mtubwi wasiokuwa manahodha ni akina nani na wanaelekea wapi?
 
Siasa=Sihasa
 
ACT Zenji na ACT Bara ni vitu viwili tofauti wanatofautiana hadi madai na malengo kuna upande wanataka kushika dola kuna upande wanataka kuwa chama kikuu cha upinzani hapo unaona kabisa chama hakina malengo ya kweli zaidi kabisa ni ulaghai tu wakupata rudhuku
 
Back
Top Bottom