Nilishangaa kuona ghafla tu Mpina anapingana na mwenyekiti wake na hatekwi hafukuzwi wala kutishiwa maisha kama wengine!!! Utamaduni wa CCM na tabia za "huyu wa sasa" tunazijua sana, hakuna ambaye angethubutu kupingana naye na akabaki salama, ni aidha afukuzwe chamani, apewe kesi za kughushi au apotezwe kabisa lkn kwa Mpina ilikuwa tofauti. Now ndo nimejua sasa...Mpina ilikuwa project ya Lumumba kutuyumbisha ila Mungu kawaumbua.
View attachment 3437363
C Ndo nyie nyie wafuasi wa chadema mnalialiaWeka ushahidi wa official statement ya Chadema kulalamikia Mpina kwenda ACT Wazalendo.
Tunamshangaa sio kutokuja chadema bali kushiriki uchaguzi ili kuhalalisha ushindi wa Samia na kwamba demokrasia ilikuepo.Chadema ni mwendawazimu, Mpina angekuja chadema wangemsifia na kusema ameitambua haki.
Roho zinawauma, wakati anakosana na chama chake walimsifia ila kutokuja chadema inawauma 😂 ngoja na bado polepole siku sio nyingi chadema watashangazwa mana sasa hv wanamsifia sana.
Mm naona kila chama kibaki na falsafa yake, mambo ya kulazimisha falsafa ya chadema kuwa falsafa ya vyama vingine mnakosea sanaTunamshangaa sio kutokuja chadema bali kushiriki uchaguzi ili kuhalalisha ushindi wa Samia na kwamba demokrasia ilikuepo.
Huyu jamaa atakua kama Membe uchaguzi utakapoisha.
Inawezekana kabisaNilishangaa kuona ghafla tu Mpina anapingana na mwenyekiti wake na hatekwi hafukuzwi wala kutishiwa maisha kama wengine!!! Utamaduni wa CCM na tabia za "huyu wa sasa" tunazijua sana, hakuna ambaye angethubutu kupingana naye na akabaki salama, ni aidha afukuzwe chamani, apewe kesi za kughushi au apotezwe kabisa lkn kwa Mpina ilikuwa tofauti. Now ndo nimejua sasa...Mpina ilikuwa project ya Lumumba kutuyumbisha ila Mungu kawaumbua.
View attachment 3437363
Lini chadema imelazimisha falsafa zake au umemsikia kiongozi gani kamkosoa Mpina?Mm naona kila chama kibaki na falsafa yake, mambo ya kulazimisha falsafa ya chadema kuwa falsafa ya vyama vingine mnakosea sana
Sasa nyie chadema mnalalamika nn mkiona vyama vingine wanashiriki uchaguzi?Lini chadema imelazimisha falsafa zake au umemsikia kiongozi gani kamkosoa Mpina?
Wapi tumelalamika? Tofautisha maoni ya ID za JF na maoni ya chama.Sasa nyie chadema mnalalamika nn mkiona vyama vingine wanashiriki uchaguzi?
Chadema nawajua nyie, tulieni waacheni watu wapajipatie mishahara yao ya mwezi, kukusanya 15m+ ukiwa umekaa tuu unapiga makofi kwenye meza bungeni na posho kila siku 300k sio jambo la kuliacha lipite hv hv wakati njia umeshaionaWapi tumelalamika? Tofautisha maoni ya ID za JF na maoni ya chama.
Unaona unavyojionyesha uongo na chuki yako, weka ushahidi wa kauli rasmi ya Chadema kuthibitisha hayo madai yako siyo unaleta ngonjera wacha hizo dogo.C Ndo nyie nyie wafuasi wa chadema mnalialia
Kwahy unataka kauli rasmi?Unaona unavyojionyesha uongo na chuki yako, weka ushahidi wa kauli rasmi ya Chadema kuthibitisha hayo madai yako siyo unaleta ngonjera wacha hizo dogo.
Mpina ndio anaenda kushinda na Rais Samia? Hata mahabusu haijui? Hata hajafukuzwa kazi yoyote ile. Tuwe wakweli ni mpinzani gani huyu?Kisa tuu Mpina hajaamia chadema? Na kisa hao wametoka huko chadema?
Mpina angekuja chadema mngesema ni project za watu?
Asipotokea Lissu yupi afadhali yaoNilishangaa kuona ghafla tu Mpina anapingana na mwenyekiti wake na hatekwi hafukuzwi wala kutishiwa maisha kama wengine!!! Utamaduni wa CCM na tabia za "huyu wa sasa" tunazijua sana, hakuna ambaye angethubutu kupingana naye na akabaki salama, ni aidha afukuzwe chamani, apewe kesi za kughushi au apotezwe kabisa lkn kwa Mpina ilikuwa tofauti. Now ndo nimejua sasa...Mpina ilikuwa project ya Lumumba kutuyumbisha ila Mungu kawaumbua.
View attachment 3437363
Yah kiukweli hakuna upinzani wa kushindana na samia, ila sasa chadema wasianze kuwatukana hao wengine kisa wao wameamua kushiriki uchaguzi, kila chama kibaki na falsafa yake.Mpina ndio anaenda kushinda na Rais Samia? Hata mahabusu haijui? Hata hajafukuzwa kazi yoyote ile. Tuwe wakweli ni mpinzani gani huyu?
Tatizo wanaodanganywa raiaYah kiukweli hakuna upinzani wa kushindana na samia, ila sasa chadema wasianze kuwatukana hao wengine kisa wao wameamua kushiriki uchaguzi, kila chama kibaki na falsafa yake.
Think again please, you are wrong. Saga inaanzia Tume ya Warioba. Ni nani huyo? Alikuwa Makamu wa Rais Mwinyi na Waziri Mkuu, akafukuzwa kazi na Rais Mwinyi, fagio la chuma, kwa kosa la kutowajibika. Warioba kwa muda kaingia mitaani baadaye Law of the Sea. Then akaibuka skateuliwa na Rais Kikwete. Mwenyekiti wa CCM, akawa Mwenyekiti wa Tume. Huko ndiyo akaibuka Polepole hachoki kusema. Tume ya Warioba ikapendekeza Serkali 3 walizotaka mabeberu kufhoofisha Muungano. Ikaungwa mkono na CUF ya Waarabu (wakati huo) waitawale Zanzibar na CHADEMA ya Wachagga (wakati huo) wajitawale Majimbo ya Ukabila kama county za Kenya. Watanzania wakaikataa wakiongozwa na Kikwete na Pengo, then CUF na CHADEMA wakajitoa as expected. Kwa hiyo unachosema wewe ni mabaki ya Serkali 3 za ema kuvunja Muungano au Ukabila, yaani kina Bagonza (Ukabila, ni Mhutu) na Tundu (vunja Muungano) na Polepole (madaraka, uchu) na wengine waliokosa mlo wao kwa kukataliwa Serkali 3. Kwa hiyo Mpina na Mwalimu hawawezi kuwa watu wa CCM, think again please.Nilishangaa kuona ghafla tu Mpina anapingana na mwenyekiti wake na hatekwi hafukuzwi wala kutishiwa maisha kama wengine!!! Utamaduni wa CCM na tabia za "huyu wa sasa" tunazijua sana, hakuna ambaye angethubutu kupingana naye na akabaki salama, ni aidha afukuzwe chamani, apewe kesi za kughushi au apotezwe kabisa lkn kwa Mpina ilikuwa tofauti. Now ndo nimejua sasa...Mpina ilikuwa project ya Lumumba kutuyumbisha ila Mungu kawaumbua.
View attachment 3437363