GE2025 Mpina (ACT) na CHAUMMA ni projects za watu

GE2025 Mpina (ACT) na CHAUMMA ni projects za watu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kanali_

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2018
Posts
7,504
Reaction score
11,737
Nilishangaa kuona ghafla tu Mpina anapingana na mwenyekiti wake na hatekwi hafukuzwi wala kutishiwa maisha kama wengine!!! Utamaduni wa CCM na tabia za "huyu wa sasa" tunazijua sana, hakuna ambaye angethubutu kupingana naye na akabaki salama, ni aidha afukuzwe chamani, apewe kesi za kughushi au apotezwe kabisa lkn kwa Mpina ilikuwa tofauti. Now ndo nimejua sasa...Mpina ilikuwa project ya Lumumba kutuyumbisha ila Mungu kawaumbua.

Screenshot_20250810_113837_Instagram.jpg
 
Upo sahihi, kuna ujinga ACT eti wamekataa DEDs wasisimamie uchaguzi na badala yake DEDs wanateua wakuu wa idara waliochini yao pamoja na officers wengine, yaani HoD atakataa maagizo ya DED? eti unaita kuna uchaguzi badala ya utapeli na ulaghai tupu
 
Nilishangaa kuona ghafla tu Mpina anapingana na mwenyekiti wake na hatekwi hafukuzwi wala kutishiwa maisha kama wengine!!! Utamaduni wa CCM na tabia za "huyu wa sasa" tunazijua sana, hakuna ambaye angethubutu kupingana naye na akabaki salama, ni aidha afukuzwe chamani, apewe kesi za kughushi au apotezwe kabisa lkn kwa Mpina ilikuwa tofauti. Now ndo nimejua sasa...Mpina ilikuwa project ya Lumumba kutuyumbisha ila Mungu kawaumbua.​

View attachment 3437363
Kwa hiyo ulitaka ajiunge chadema ?
 
Chadema mbona munateseka kiasi hicho? mwanzo mulikua munamshabikia, kwa kuwa tu hajaja chama chenu ndio imekuwan nongwa
 
Mpina kajivua nguo ila inawezekana akujua maana Zitto ndio mtu wa kati akumuambia ukweli chama cha nani, ila ningekuwa Mpina ningejiuzuru kabla hata uchaguzi ili alinde uaminifu wake kwa watanzania.
 
Chadema mbona munateseka kiasi hicho? mwanzo mulikua munamshabikia, kwa kuwa tu hajaja chama chenu ndio imekuwan nongwa
Chadema ni mwendawazimu, Mpina angekuja chadema wangemsifia na kusema ameitambua haki.
Roho zinawauma, wakati anakosana na chama chake walimsifia ila kutokuja chadema inawauma 😂 ngoja na bado polepole siku sio nyingi chadema watashangazwa mana sasa hv wanamsifia sana.
 
Mpina kajivua nguo ila inawezekana akujua maana Zitto ndio mtu wa kati akumuambia ukweli chama cha nani, ila ningekuwa Mpina ningejiuzuru kabla hata uchaguzi ili alinde uaminifu wake kwa watanzania.
Kajivua nguo kwa vile hakujinga na chadema ?
 
Chadema ni mwendawazimu, Mpina angekuja chadema wangemsifia na kusema ameitambua haki.
Roho zinawauma, wakati anakosana na chama chake walimsifia ila kutokuja chadema inawauma 😂 ngoja na bado polepole siku sio nyingi chadema watashangazwa mana sasa hv wanamsifia sana.
Ni wapi umeona Polepole anasifiwa ili ajiunge cdm? Huyo ni mfuasi wa Magufuli walioshirikiana kuharibu demokrasia ya vyama vingi hapa nchini. Watu wanachochea kuni na sio kumtaka ajiunge na cdm. Hao wahuni toka ccm kwenye cdm ya Lisu hawana nafasi. Usidhani cdm hii ni ya Mbowe mzee wa siasa maslahi.
 
Chadema ni mwendawazimu, Mpina angekuja chadema wangemsifia na kusema ameitambua haki.
Roho zinawauma, wakati anakosana na chama chake walimsifia ila kutokuja chadema inawauma 😂 ngoja na bado polepole siku sio nyingi chadema watashangazwa mana sasa hv wanamsifia sana.
Wewe una chuki na Chadema tu, mleta uzi huu ni mccm, Polepole muasisi wa hoja ya Mpina kwenda ACT Wazalendo kuwa ni ya CCM naye ni mccm na pia hao Chadema unaowatwika lawama hawashiriki huu uchaguzi. Punguza chuki .
 
Back
Top Bottom