Mpima viwanja anahitajika haraka

Mpima viwanja anahitajika haraka

MD24

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
745
Reaction score
254
Habari wanabodi.
Nahitaji mtu ambaye atanisaidia upimaji wa viwanja vyangu viwili mpaka hatua ya kupata hati miliki “title deed”.
Kiwanja cha kwanza kipo Bunju Beach, DSM, kina nyumba na nilikuwa nimeshaanza taratibu za upimaji mpaka nikafika hatua ya kupata beacon number, ila tatizo ni kwamba huyu jamaa anayenifanyia hii kazi longolongo zimekuwa nyingi na hili zoezi limekuwa refu sana.
Kiwanja cha pili kipo Boko, DSM. Hiki kiwanja sijaanza hatua zozote za upimaji lakini TP hipo.
Kwa yeyote anayeweza kufanya hii kazi, bila longolongo ani PM ili tuweze kufanya kazi. Asante.
 
nenda manispaa ya kinondoni idara ya ardhi hao wengine watakutapeli tu....
 
Nashukuru kwa ushauri wako...
 
Mkuu Kichwaones nimeshaku PM...
 
pouwa, ata mi nisharepl. msg yako. usiangaike tena soluation ishapatikana mkuu
 
Habari wanabodi.
Nahitaji mtu ambaye atanisaidia upimaji wa viwanja vyangu viwili mpaka hatua ya kupata hati miliki “title deed”.
Kiwanja cha kwanza kipo Bunju Beach, DSM, kina nyumba na nilikuwa nimeshaanza taratibu za upimaji mpaka nikafika hatua ya kupata beacon number, ila tatizo ni kwamba huyu jamaa anayenifanyia hii kazi longolongo zimekuwa nyingi na hili zoezi limekuwa refu sana.
Kiwanja cha pili kipo Boko, DSM. Hiki kiwanja sijaanza hatua zozote za upimaji lakini TP hipo.
Kwa yeyote anayeweza kufanya hii kazi, bila longolongo ani PM ili tuweze kufanya kazi. Asante.

Nimepata taarifa mkuu mimi ni surveyor na nina uwezo wa kufanya hizo kazi zako kwa taarifa zaidi nipigie kwa simu namba 0717740341 na 0753639449
 
Back
Top Bottom