Mpima ardhi anapatikana

Kilimanjaro utafika?
 
Shamba LA ekari nne linaweza kugharimu kiasi gan mpka kupata hati? Liko kagera mkoan
 
2m? Hawa jamaa wanaopima huku mjini (kupitia serikali za mtaa) kwa gharama ya laki 2 ni matapeli au?
 
Nina kashamba kangu heka na nusu mkuu Mlandizi, itagharimu kiasi gani kupima?
 
2m? Hawa jamaa wanaopima huku mjini (kupitia serikali za mtaa) kwa gharama ya laki 2 ni matapeli au?
Hapo mnashare cost kwa vile mpo wengi..maana bei ya kupima kiwanja kimoja kama ni 1.5M hata kama vipo 20 kwa eneo moja basi haizidi 2.5M..kama vipo block moja ndio rahisi zaidi
 

Kwa Dar uko wapi ? nafikiria kukucheki weekend nikuchukue ukaone site
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…