Mpika chips na mchoma nyama mzoefu zaidi anahitajika haraka

Mpika chips na mchoma nyama mzoefu zaidi anahitajika haraka

Habari natafuta wapishi wanaojua kupika vyakula vya aina yote iwe wa kiume au wakike na anayejua kuchoma nyama vizuri kama yuko anitafute kwa 0743567342
 
Mshahara ni maelewano.
Kazi ya mkataba wa mwaka mmoja mmoja.
Mahali Mabibo, Dar es Salaam.
Mwenye uhitaji naomba anicheck kwa 0765374146.
hli tangazo lako lipo mara mbili na namba za smu zpo tofaut kwny kila tangazo
namba moja haipatikan,
namba nyingine iko busy mda wote
 
Back
Top Bottom