wazazi wake walishakufa, na wa mwisho ilikuwa ni baba yake last yr, lakini hata kama wangekuwepo, hao wazee wa kisukuma walishachanganyikiwa na visenti vya binti yao alivyokuwa anawatumia, maana mzee wake nae uzee ulimwisha na kuanza kujichanganya kunakoHapa anajitangazia biashara au vipi wajameni??? Nidhamu yetu ya kiafrika inatokomea!!! Half naked!!! Hivi wazazi wake wako hai?? Wanafurahia hizi pics and many more alizozianika katika face book!!! Anyway, ambao hamjaoa kazi ni kwenu kumpata a descent mother four your kids. Ni hatari sana kwa watoto wetu ambao hawajaoa na wanaokua!!! Anyway, I am old fashioned!!!! Talking of years 1947!!! Soorrry.
Hivi wajemeni ..anyway this is not my type,,hapa namuunga mkono NN kwenye mawezele,,
Sasa izo picha ndo atakuwa anatangaza ivo kwen iyo TV au inakuwaje, manake kuna nyingine apo kapiga naona na kitanda pembeni as if ni maandalizi ya mambo yetu yale...eeh? au ndo 2 in 1?
I know am not civilized, thats why I not gonna cast my vote anyhow......ametudhalilisha sana wazazi wa Tanzania. Kwanini asingevaa gauni refu kuficha maungo yake....this is a total moral decay in our society....enzi za Mwalimu mambo haya hayakuwepo. TK alaaniwe
what?kuvaa bikini ni kudhalilishwa?since when?.mbona sasa unaleta issue za miaka ya 47?hii ni karne ya 20 jamani hebu try to think about it.bado tuu mnataka watu waishi kama walivyoishi wazazi wetu common now.Hebu give her credits at least ana hustler kihalali na wala siyo kwa kujiuza au kula rushwa.
TK yupo juu kinoma alafu very down to earth,get to know her kabla hujam-judge.
Quick Facts:
Always sleeps in the nude
Enzi zetu za Mwalimu usingaliandika huo upupu wa kufagilia mavazi ya nusu uchi....ukisasa haubadili maadili yetu, nyie vijana vipi? Ndiyo maana mafisadi wanaongezeka enzi zetu wala....mkuu wa wilaya anatumia landrover 108 na mabwana shamba farasi.....
Correction "enzi zile za mwalimu",na hii si enzi ya mwalimu,besides ameshajadiliana na mume wake na ndugu zake anachotaka kufanya na kama wamempa go ahead who cares?.
Kaka yangu kumbuka siyo kila mtu amekuwa katika maadili ya huyo mwalimu nyerere mnayektukuza mpaka leo.Watanzania inadibi tuadilike kidogo tutabakia kuwa nyuma kwa sababu bado tunabakia kuwa na fikira za miaka hiyo hadi lini lakini?
Issue ya mafisadi na issue ya tk ni vitu viwili tofauti kabisa.
LOL...unakumbuka ugomvi wake na Mange?
Loooh temea mate chini!
Utalaaniwa na mzimu wa mwalimu, inabidi tumuenzi vizazi hadi vizazi....haya mambo ya kutembeza K wazi hayakuwepo kabisa kijana wangu!
LOL...unakumbuka ugomvi wake na Mange?
Of course namu-enzi Mwalimu nyerere lakini siyo ndiyo basi hata kama mtu unataka kufanya kitu uache kufanya kisa mwalimu nyerere hakupenda hivyo?nani kasema?.
Alafu basi binti wa watu hayupo uchi mbona yupo covered.haya ndiyo yale mambo kama yale watu wanafanya MISS tanzania wakaanza ooh kuvaa bikini ni uhuni,mimi nadhani nyie wanaume mnakuwa mnashikwa na mfadhaiko ndiyo maana mnakuwa mnapinga sana.Mbona nyie mwavaa boksa?ha wala watu hawalalamiki?