mkumbwa junior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 831
- 1,595
Mkurugenzi Mtendaji wa MeTL Group, Mohammed Dewji ametajwa na Jarida la African Leadership kuwa mmoja wa watu ambao watawania Tuzo ya AFRICAN LEADERSHIP AWARD 2016. Njia pekee ya kumwezesha kuwa mshindi na kuleta tuzo nyumbani Tanzania ni kumpigia kura kupitia: VOTE FOR THE ALM PERSON OF THE YEAR 2016 | African Leadership Magazine cc @moodewji