Mpigie Kura FID.Q

Mpigie Kura FID.Q

Lalo Salamanca

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
1,553
Reaction score
1,149
Habari wakuu, tumekuwa na tabia ya kuwalaumu waandaaji wa KTMA kuwa wana upendeleo hasa kwenye Category za Hip Hop, hebu kabla hatujaanza kuwalaumu kili kuwa wanawapa tuzo washiriki wasiostahili, take your time and vote for Fid.Q anawania tuzo kwenye Category za Msanii bora wa HipHop na Wimbo wake wa "Siri ya mchezo" unawania tuzo ya wimbo bora wa HipHop. Vote for this Legend, He's simply the best.
Vote kupitia link Hii hapa
Piga Kura - KTMA 2014
 
Akikosa safari na wakisema kura zetu hazitoshi jamaa inabidi aachane na hizi mambo
ImageUploadedByJamiiForums1397726606.950370.jpg
 
Afu waliomuweka Young Killa ni Matahira !

Kweli young killa ashindane na Fid Q
mbona hata wanafamilia ya Tamaduni Muzik tunatambua baba yetu ni Fid Q !
 
Kabla hajakosa we gotta do something, itakuwa aibu sana safari hii dogo Msodoki akichukua tuzo ya huyu Legend ambae kila mtu anaufaham uwezo wake. Keep Voting

Dude this is my last time voting for him aseeee if he wont win i wont vote again ntajua ni ukandarasi wa wandaaji kwenye categories zote hakuna anaemkaribia nimekua nikimpigia kura kwa miaka mingi alafu wanasema kura zetu hazikutosha aseee i wont waste my time again kama mwaka huu akirudi bila chuma mkononi.
 
Afu waliomuweka Young Killa ni Matahira !

Kweli young killa ashindane na Fid Q
mbona hata wanafamilia ya Tamaduni Muzik tunatambua baba yetu ni Fid Q !

Mkuu Young Killer anashinda mark my words!
 
Afu waliomuweka Young Killa ni Matahira !

Kweli young killa ashindane na Fid Q
mbona hata wanafamilia ya Tamaduni Muzik tunatambua baba yetu ni Fid Q !

ROMA aliwahi andika artcle flani akielezea hustle zake kamtaja Kubanda kua ndio kioo chake,Msodoki ni mjukuu wa Fid Q wakati Stamina anajifunza kupitia Ngosha leo wapo kwenye category moja kati ya hawa watoto yeyote akipata tunzo inabidi aonyeshe heshima kwa legend wao ili waandaji wapate fundisho,this time huyu Ninja apewe heshima yake,Tamaduni wamejengwa na misingi ya heshima ya kweli ndio maana wanatoa salute kwa hip hop legends i real love 'em na naelewa hustle zao may God bless 'em maana wanapitia changamoto nyingi.
 
Mkuu Young Killer anashinda mark my words!

Sahihi mkuu ndomana nasema jamaa wa kill na watanzania wengi ni matahira!

Hawajui Hip Hop ni nini !
Kwamfano Huyo Young killer huwezi kumlinganisha na kichwa chochote pale Tamaduni Muzik !

Nilitegemea aka kae kwenye Msanii Chipukizi tu ! Ila siyo kumweka na Fid Q !

Iliishajulikana kwamba Msanii Bora wa Hip Hop Tanzania ni Fid Q na wasanii wote wa hip hop wana appreciate! Japokuwa ana retire now !

Young Killer anasema hivi !

''Ukinitoa Mimi na FID kad go ndo Rapa best''

Stamina anasema hivi !

''Mtoto wa Faridi ninaepita hata beat ya mnanda/
Nashangaa nyie makaidi msiompa Tuzo Kubanda''

Kad Go anasema hivi !

''Changu Kipaji na Ujuzi haupimwi Kwa Tuzo za Pombe''

!
 
Mi safari hii ntalia na wanaojiita fans wake, saa hizi hawapigi kura halafu wanasubiri siku ya tuzo ndio waanze kutukana tukana facebook mara kaonewa mara hivi mara vile, halafu hata ikitokea akakosa itakuwa kitendo cha kishujaa sana kwa atakaeshinda aikatae ili waandaaji wapate aibu.
 
huyu jamaa ni mkali, ntashangaa kama wimbo wa bonta"walaumiwa" hautaingia next year awards, ntajua hawa jamaa wana beef na baadhi ya wasanii"..mangwea mheshimiwa....bi kidude mheshimiwa...runyamila mheshimiwa...!!
 
ya kawaida tu.
 
Back
Top Bottom