Jamani isitokee ktk kifo cha huyu babu wetu, kamanda wetu mkaanza unafiki na majungu. Dr.Kyaruzi na Nyerere wote walikutana Tabora secondary, ikiitwa Milambo secondary. Na wote walikwenda Makelele Uganda. Nawaomba sana msome maelezo yake mwenyewe marehemu Dr. Kyaruzi ukurasa wa 394 pia ni vizuri sana mkisoma habari hii toka nyuma na kuendelea mpate kujua mengi ya historia ya nchi yetu na watu waliohusika ambao hadi leo hawafahamiki na kwa sababu mbali mbali. Kifupi dr. mwenyewe anasema Nyerere alikuwa na tabia ya kuamini watu wasioaminika na kweli kabisa haya ndio mapungufu makubwa ya Nyerere ambayo yame tugharimu sana.Haya ndo mapungufu ya Mwl Nyerere,Aliwapoteza kwenye Historia akina Kyaruzi ili abaki pekee kwenye Historia na kuna vijitu vinaamini uhuru wa nchi hii ni matokeo ya harakati za miaka 6 i.e 1954 (kuzaliwa TANU) mpaka uhuru wa 1961, Hawajui kuwa Tanu imekuja kukamilisha kazi za wakongwe kama DR.Kyaruzi, Kwa mfano ukiwauliza vijana wasomi wa kisasa wakutajie wapigania Uhuru 10 wa nchi hii,itawachukua muda sana na kama wakijitahidi watakutajia waliokuwa mawazir wa kwanza wa Serikali wakati hao wapigania uhuru walitupwa kulleeeeeeee!!!!!! Watoto wetu hawajui kuwa Professa Babu ni Nguli wa Siasa ya Ujamaa Duniani mpaka leo wajamaaa Dunia nzima wanaadhimisha SIKU ya kifo chake kwa Mijadala yenye Afya.Buriani Dr.Kyaruzi historia ya VITABUNI umeachwa lakin kamwe vifuani mwa wapenda ukweli utadumu!
Jamani isitokee ktk kifo cha huyu babu wetu, kamanda wetu mkaanza unafiki na majungu. Dr.Kyaruzi na Nyerere wote walikutana Tabora secondary, ikiitwa Milambo secondary. Na wote walikwenda Makelele Uganda. Nawaomba sana msome maelezo yake mwenyewe marehemu Dr. Kyaruzi ukurasa wa 394 pia ni vizuri sana mkisoma habari hii toka nyuma na kuendelea mpate kujua mengi ya historia ya nchi yetu na watu waliohusika ambao hadi leo hawafahamiki na kwa sababu mbali mbali. Kifupi dr. mwenyewe anasema Nyerere alikuwa na tabia ya kuamini watu wasioaminika na kweli kabisa haya ndio mapungufu makubwa ya Nyerere ambayo yame tugharimu sana.
RIP Dr. Kyaruzi - Mpambanaji.
Kweli akina Fundikila,Sykes,Kyaruzi n.k leo serikali zetu zinawakanyaga na kwenda kuwabeba akina Kanumba huku wakijiaibisha?
Ndo maana CDM ina rangi nyekundu ktk bendera yake kwa ajiri ya kuenzi wapiganaji hawa na daima tutawakumbuka babu zetu wapiganaji milele yote.
Jamani isitokee ktk kifo cha huyu babu wetu, kamanda wetu mkaanza unafiki na majungu. Dr.Kyaruzi na Nyerere wote walikutana Tabora secondary, ikiitwa Milambo secondary. Na wote walikwenda Makelele Uganda. Nawaomba sana msome maelezo yake mwenyewe marehemu Dr. Kyaruzi ukurasa wa 394 pia ni vizuri sana mkisoma habari hii toka nyuma na kuendelea mpate kujua mengi ya historia ya nchi yetu na watu waliohusika ambao hadi leo hawafahamiki na kwa sababu mbali mbali. Kifupi dr. mwenyewe anasema Nyerere alikuwa na tabia ya kuamini watu wasioaminika na kweli kabisa haya ndio mapungufu makubwa ya Nyerere ambayo yame tugharimu sana.
RIP Dr. Kyaruzi - Mpambanaji.
Jamani isitokee ktk kifo cha huyu babu wetu, kamanda wetu mkaanza unafiki na majungu. Dr.Kyaruzi na Nyerere wote walikutana Tabora secondary, ikiitwa Milambo secondary. Na wote walikwenda Makelele Uganda. Nawaomba sana msome maelezo yake mwenyewe marehemu Dr. Kyaruzi ukurasa wa 394 pia ni vizuri sana mkisoma habari hii toka nyuma na kuendelea mpate kujua mengi ya historia ya nchi yetu na watu waliohusika ambao hadi leo hawafahamiki na kwa sababu mbali mbali. Kifupi dr. mwenyewe anasema Nyerere alikuwa na tabia ya kuamini watu wasioaminika na kweli kabisa haya ndio mapungufu makubwa ya Nyerere ambayo yame tugharimu sana.
RIP Dr. Kyaruzi - Mpambanaji.
KItabu chake kinapatikana wapi? RIP Dr KyaruziJamani isitokee ktk kifo cha huyu babu wetu, kamanda wetu mkaanza unafiki na majungu. Dr.Kyaruzi na Nyerere wote walikutana Tabora secondary, ikiitwa Milambo secondary. Na wote walikwenda Makelele Uganda. Nawaomba sana msome maelezo yake mwenyewe marehemu Dr. Kyaruzi ukurasa wa 394 pia ni vizuri sana mkisoma habari hii toka nyuma na kuendelea mpate kujua mengi ya historia ya nchi yetu na watu waliohusika ambao hadi leo hawafahamiki na kwa sababu mbali mbali. Kifupi dr. mwenyewe anasema Nyerere alikuwa na tabia ya kuamini watu wasioaminika na kweli kabisa haya ndio mapungufu makubwa ya Nyerere ambayo yame tugharimu sana.
RIP Dr. Kyaruzi - Mpambanaji.
Haya ndo mapungufu ya Mwl Nyerere,Aliwapoteza kwenye Historia akina Kyaruzi ili abaki pekee kwenye Historia na kuna vijitu vinaamini uhuru wa nchi hii ni matokeo ya harakati za miaka 6 i.e 1954 (kuzaliwa TANU) mpaka uhuru wa 1961, Hawajui kuwa Tanu imekuja kukamilisha kazi za wakongwe kama DR.Kyaruzi, Kwa mfano ukiwauliza vijana wasomi wa kisasa wakutajie wapigania Uhuru 10 wa nchi hii,itawachukua muda sana na kama wakijitahidi watakutajia waliokuwa mawazir wa kwanza wa Serikali wakati hao wapigania uhuru walitupwa kulleeeeeeee!!!!!! Watoto wetu hawajui kuwa Professa Babu ni Nguli wa Siasa ya Ujamaa Duniani mpaka leo wajamaaa Dunia nzima wanaadhimisha SIKU ya kifo chake kwa Mijadala yenye Afya.Buriani Dr.Kyaruzi historia ya VITABUNI umeachwa lakin kamwe vifuani mwa wapenda ukweli utadumu!
Inawezekana kuna mengi hatuyafahamu. Hata mimi nimekuwa nikiamini kuwa Tabora School na St Marys (Milambo) ni vitu tofauti toka zama hizo.Dah, inabidi kweli documentaries zitengenezwe. Maanake tunaambiwa Tabora Secondary iliitwa Milambo!
Mkuu Omukajunguti, asante kwa update hizi, Nakumbuka mwaka fulani mitaa mingi ya jiji la DSM ilipewa majina ya wazalendo hawa japo sijui kama Dr. Kyaruzi nae anao mtaa wa kumuenzi.Dr Luciano Tsere is among those who participated in independence movements and has been forgotten.may be i was not fortunate to see all posts and articles during 50yrs independence celebration but I never heard anyone among our current leaders who publically mentioned existence of the famous five young doctors who were at the centre of early independence strugles alongside Other youth who were dar natives, the likes of Abdulwahid Sykes,Ally sykes, Tewa Said Tewa,Dosa Aziz,Hamza Mwapachu,Steven Muhando and John Rupia
The five doctors names were the first youth TAA president, Dr Vedasto Kyaruzi, Dr Joseph Mutahangarwa, Dr Luciano Tsere, Dr Michael Lugazia and Dr WILBARD MWANJISI who was once a president of TAGGSA( Labour union) .
Huu ndio unafiki wenyewe na umejionyesha vizuri. sasa huyo Christopher Kasanga alikuwa nani ktk kupigania Uhuru wetu hadi apate kuheshimiwa?.. Hii ya Vijiji vya Ujamaa na kifo cha Dr. Kyaruzi vinahusianaje na mwalimui Nyerere?..Wee nambie kiongozi yeyote musisi wa TANU aliyefariki wakati wa Nyerere na hakupewa heshima zote za kichama na kitaifa.unajua tafsir ya neno unafki na majungu? Usipende kutumia msamiati kwa kuwa watu wengi wanautumia bila ya kujua maana halisi ya neno lenyewe!! Umeanza kwa kupinga nilichoandika lakin mwishowe umeniunga mkono,mfumo wa viongoz wetu kukataa kukosolewa muasis wake ni Mwl Nyerere! Sihitaji kusoma page uliyonukuu ili nijue kuwa Mwl aligombana na Mzee Christopher Kasanga tumbo kwa kukosoa mfumo wa vijiji vya vya ujamaa,nukuu page inayoonesha maendeleo ya vijiji vya ujamaa, unajua Oscar Kambona alipinga mfumo wa ujamaa wa kisiasa badala ya wa uchumi ambapo vyama vya ushirika na makampuni wakapewa makada wa Tanu badala ya wataalam, nukuu page inayoonesha sababu zakukosekana hata chumvi,mafuta,unga ,sukari 1985 ili uthibitishe unafki wangu.