kama ni hasira, basi, kwa kuwa najua ni uongo, ndiyo sababu naukasirikia uzushi wake huyo anayesema askofu kakobe anajiandaa kuhamia kwenye tawi lake boston..... Anadanganya watu, na wale wasiofanya utafiti ni rahisi kuamini kama walivyodanganywa kwamba kakobe anatumia uchawi wa nigeria wakaamini kwa miaka mingi. Swala la kuhesabu sadaka hapo linaingiaje? Nawe kwa majibu yako pia unaonekana una tatizo! Una kijicho na sadaka za kanisani kwa kakobe! Lol!