Mpigamsuli kachaguliwa wapi na kozi gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpigamsuli kachaguliwa wapi na kozi gani?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Aug 19, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hivi Huyu dogo anaependa mashindano kwenye mambo ya kijinga kijinga kachaguliwa wapi na kozi gani,maana simuoni tena humu?
   
 2. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umekosa cha post!
   
 3. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,890
  Likes Received: 4,743
  Trophy Points: 280
  Dah, kweli ndugu yangu umeishiwa.
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,950
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  unajaza server bure na hujawahi kulipia. Why dont you PM him via SAMITI. Moderate yourself before being moderated. Damn
   
 5. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  hovyo.mods futa upuuzi huu
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mods Wameunganisha ID yake mpigamsuli+SAMITI.
   
 7. MWILI NYUMBA

  MWILI NYUMBA JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hivi kuna mwenyesifa aliyekosa chuo mwaka huu kweli?Maana nasikia kuna hadi KATAVI UNIVERSITY mshindwe wenyewe tu vijana kusoma.
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  we umepangwa chimbo gani mkuu?
   
 9. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,890
  Likes Received: 4,743
  Trophy Points: 280
  Me kama kawa Udom, mkuu.
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  kozi gan?
   
 11. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mpigamsuli a.k.a SAMITI kachaguliwa MUCCOBS kozi flani hivi imenitoka
   
 12. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,134
  Likes Received: 10,485
  Trophy Points: 280
  Zoom polytechnic college magomeni.
  source: mi ni mwalimu pale.
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  ha ha ha,na wewe ningeR uko wapi mkuu?
   
 14. z

  ze dudu01 JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha unafiki wewe !!
  <<< Ze duduz >>>
   
 15. z

  ze dudu01 JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahah kaka mnabifu nini? Naona unamsaka kisawasawa !!
  <<< Ze duduz >>>
   
 16. m

  markj JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  kwani nyinyi mlivyotoka huko na elimu yote mpaka sasa mnaingia chuo, mlikuwa hamjagundua watu waliokuwa wakijiita majina kama hayo wakijifanya wasongo wa shule ndo wa kwanza kusanda kwenye matokeo! hahaha labda kapangiwa data star college. wale wa UDOM salimieni sana mlacha mwambieni aache ujinga wake, mpeni habari kuwa ninajiunga jwtz na ni lazima nimtafute nimtoe show nikitoka munduli. ELIA JOHN,CHAYA,YUSILIDA,KILONZO NK HAYA NI BAADHI YA MAJINA YA WALIMU WATATA KWA COURSE MBALIMBALI. be prepared, mimi nilishatoka huko tangia 2011. masomo meme wakuu
   
 17. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,890
  Likes Received: 4,743
  Trophy Points: 280
  markj mkuu ndo tunatiririka huko ha ha hah lazima vikaumane
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. m

  markj JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  aaah! kama huyo elia ni balaaaa mbaya ila yy sio mnoko, anahitaji usome kwa kuelewa na uwe unaklemu balaaa,mana maswali yake bana acha tu! ila A na B+ zinapatikana ukikomaa naye, ila wengine hao huwa wanaingia uwanjani wakisema safari hii mwanafunzi apati A yani ni manoko hayo, aaaah! nimemsahau mmoja anaita ABEL afu mbaya zaidi kufundisha hajui, basi weeee patamu hapo. ila hakuna lisilowezekana chini ya jua kwa uwezo wake aliyetuumba mbona mtamaliza fresh tu, kutambua kilichokupeleka pale tu. Ipycalypse
   
 19. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Me nafuata mining engineering pale UDOM Mkuu
   
 20. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  mkuu,si unakumbuka cku zle alinikashfu me na chuo changu nlichochaguliwa,nikajua labda ye atachaguliwa havard au oxford,kumbe kachaguliwa chuo mfano wa sekondari ya kata.bora hata mie nliechaguliwa hata chuo kinachotambulika barani africa.
   
Loading...