MpigaKelele: Mtazamaji wapi Teknohama Bongo ?

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,914
23,079
Kuna webpage nadhani alikuwa anaihariri Mtazamaji ya teknohama bongo , toka jana husiku nikiigoogle ina nilepeleka kwenye link hii >>>(x10Hosting Account Suspended).

Hivyo nilikuwa na muuliza Mtazamaji au mshirika wake wa karibu ni wapi ameihamishia webpage hiyo maana ilikuwa inatukwamua sana sisi wapenzi wa soka na michezo mingine.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom