Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 619
- 371
Andika vizuri mkuu hujaeleweka
Wana ujuzi wa kupiga picha wanakuja ndugu IsaacAndika vizuri mkuu hujaeleweka
Nikuletee mtu?Habari, nahitaji mpiga picha mzuri aje ofisini kwetu kuwapiga picha staff wakiwa kwenye uniform .Hizo picha zinahitajika na ofisi zitumike kwenye marketing.
Idadi ya picha ni nne tu
Tupo mikocheni
0679464974
😅😅 Kuna mwamba mmoja huku x hapo kariakoo hata missile anakuletea , ni wewe nini mkuu?Nikuletee mtu?
Kumbe ni temporary work doohHabari, nahitaji mpiga picha mzuri aje ofisini kwetu kuwapiga picha staff wakiwa kwenye uniform .Hizo picha zinahitajika na ofisi zitumike kwenye marketing.
Idadi ya picha ni nne tu
Tupo mikocheni
0679464974
Mimi sina wa kushindana naye hapa maana nashenyenta picha kama sina akili nzuri.
Shenyenta sasaMimi sina wa kushindana naye hapa maana nashenyenta picha kama sina akili nzuri.
Naomba nipewa kazi tafadhali.Shenyenta sasa
Hahaha amnaa kuna mwanetu anaitwq Kelvin Kibenje nae kafungua biashara hii😅😅 Kuna mwamba mmoja huku x hapo kariakoo hata missile anakuletea , ni wewe nini mkuu?
yeah ni kazi ya nusu saa tu maana ni picha nnetu kali.Kumbe ni temporary work dooh
Camera nakuja nayo... Vipi ushapata mtu au laa sema chapyeah ni kazi ya nusu saa tu maana ni picha nnetu kali.
Mpigie ndugu IsaacNaomba nipewa kazi tafadhali.
OkayMpigie ndugu Isaac