Lazima alitoka salama ndio maana tumeiona hii picha.
Yule mtoto aliliwa na ndege na baada ya kupata habari hizi mwandishi yule alijiua maana kambi ambapo mtoto yule angeweza kusaidiwa haikuwa mbali hivyo angempeleka pale labda mtoto yule angeishi. Mie naamini huyo mpiga picha mayai ya nyoka ndie alietoa picha hiyo baada ya kunusurika.Kuna picha ilionyeshwa mtoto mwenye njaa huku ndege akimnyemelea,mpiga picha alimfukuza ndege wala hakutoa msaada kwa mtoto(haijulikan kama mtoto alinusurika au la)
Ndio kama hapa
Yule mtoto aliliwa na ndege na baada ya kupata habari hizi mwandishi yule alijiua maana kambi ambapo mtoto yule angeweza kusaidiwa haikuwa mbali hivyo angempeleka pale labda mtoto yule angeishi. Mie naamini huyo mpiga picha mayai ya nyoka ndie alietoa picha hiyo baada ya kunusurika.
POWA mkuu.Shukran kwa info ya yule mtoto.
Hii picha inaonekana imepigwa na mtu mwingine aliekua mbele ya jamaa na nyoka.