Mpiga kura….. Chagua kati ya vyama hivi hapa…

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,556
29,642
Chaguo ni lako....

1. CHADEMA = (Chagua Dezo na Mali)
2. TLP = (Tuo Lina Pumziko)
3. UDP = (Ujinga Daima Punguzeni)
4. CUF = (Chagua Udini na Fadhila)
5. DP = (Daima Pinga)
6. NCCR = (Nunua Chako, Chetu Rudisha)
7. CCM = (Chetu Cha Mababu)
8. …… Ongezea vilivyokosekana na masahihisho ruksa
 
Hiyo Tafsiri ya TLP haileti maana. Nawaza ya kwamba hakuna chama cha maana hapo. Wote wezi tu!
 
Hiyo Tafsiri ya TLP haileti maana. Nawaza ya kwamba hakuna chama cha maana hapo. Wote wezi tu!
ndo maana jamaa ametua na amepumzika kwani hakuna wa kumtikisa pale. Hata msajili kachemsha hehehe
 
Vangi umekosea kwani wewe ulijua kuwa kuna FISADI inji hii? kama siyo kazi nzuri ya chama cha walalaloi CHADEMA ndo wamefunua kila kitu. najua wewe unayo kadi ya CHADEMA sasa waambie Umma usijifiche Vangi
 
Naambiwa kuna chama/vyama vipya vimesajiliwa. tuwekeeni majina tuvichambue basi...
 
Hiyo Tafsiri ya TLP haileti maana. Nawaza ya kwamba hakuna chama cha maana hapo. Wote wezi tu!

Vangi ana matatizo huyu kazi yake ni kushambulia tu . Ana posts sijui 10 lakini kila mahali yeye kama TLP shame
 
Chaguo ni lako....

1.CHADEMA = (Chagua Dezo na Mali)
2.TLP = (Tuo Lina Pumziko)
3.UDP = (Ujinga Daima Punguzeni)
4.CUF = (Chagua Udini na Fadhila)
5.DP = (Daima Pinga)
6.NCCR = (Nunua Chako, Chetu Rudisha)
7.CCM = (Chetu Cha Mababu)
8.…… Ongezea vilivyokosekana na masahihisho ruksa

Kwa maana ya sanaa kama jina lako lilivyo inaleta maana,vinginevyo ni soga tu. Lete kahawa tunywe hamna kitu hapo !!
 
Vangi ana matatizo huyu kazi yake ni kushambulia tu . Ana posts sijui 10 lakini kila mahali yeye kama TLP shame
Mkuu
unajua itikadi mara nyingi inaharibu ubongo na uwezo wa kufikiria. mtazame mgosi wa kilinge anavyozeeka vibaya. hivyo dawa ya VANGI ni kumhurumia tu!
 
Back
Top Bottom