Mpiga debe ahatarisha ndoa yangu

Mkeo kakuona hauna akili sasa hapo Four way si ungejifanya kama unaenda hicho kituo cha mafuta ukawa unakula vichwa hapo. Unatembea kizembe sana ungeibuka na panga ama shoka huyo mpiga debe lazima angetia akili. Unaacha abiria kisa mpiga debe. Maajabu haya. Una umri gani.
 
Hapo Dodoma Ni Pahovyo Sana Kuhusu Wapiga Debe
Ukiwa CBE Una Gari Private Unapigwa Bit Na Mpiga Debe Hupakii Mpaka Utoe Chochote. Nchi Hii Ngumu Sana
 
Mkeo amekasirika kihisia. Amekuona huna msimamo ivyo yeye ameshawaza kuwa ata wanawake wanakuendesha ivyo. Hapo n kupiga tukio la kumuonesha una msimamo. Una maamuzi yako binafsi na hutetereki kisa mtu mwngne kakushinikiza

Anaweza kupoa baadae ila mkeo anatuma message. Wanawake wanatak wanaume wny misimamo. Hapo umepoteza point. Na kumbuka mke/mme azoewi. Ukimzoea ujue wngn wanamtaka. Vile vitu vilivyomleta kwako anatak avione kila siku..
 
Ni lazima mwanamke akasitike na kukupanda kichwani endapo...

Ata ona umeshindwa " kujiamini" kwenye situation fulani ,
Umekosa msimamo
Umeshindwa" kutawala"
na badala yake mpiga debe ndio anakupa order nini ifanue na nini usifanye..

Hivyo vutu mwanamke akivishuhufia kwako anakuona kama hujakamilika hivi vina mturn off..
Vina mforce akudharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…