Th los proffcnal
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 583
- 348
Naombeni ushauri wakuu,
Nilikuwa na mpenzi ambaye tuliachana baada ya kupata bwana mwingine na mimi kipindi hicho nikiwa kwenye hali ngumu kimaisha.
Ila cha kushangaza hivi karibuni amerudi na ameniomba msamaha kabla sijaamua vyema nikafanya nae mapenzi mara mbili, tatizo kwangu sio yeye ni mtoto wake hata miezi sita bado.
Pia naona familia yangu sidhani kama itaafiki kuwa nae, vilevile mimi sina upendo uleule wa mwanzo.
Nifanyeje ili niachane nae bila kumuumiza.