Mpenzi wangu wa zamani arudi na mtoto

Mpenzi wangu wa zamani arudi na mtoto

Ha ha ha, kweli wanawake wanajua kutufanya malofa, akitaka mtoto wa pili mtaachana na atarudi tayri ana mtoto.

Wewe utakuja tena kutuuliza.
 
Mnarudiana kivipi? Huyo mtoto ni wako au? Je, unaoa au unatengeneza tu maziwa ya mtoto?? Huko alikokuwa aliolewa au alipeleka mashine kutengenezwa tu. Umeacha maswali meengi kabla hujajibiwa

Sio mtoto wangu,ila nataka nichukue uamuzi wa busara sipendi kusikia mtu amejinyonga au amechukua uamuzi mbaya kwakuwa namwona amekata tamaa kabisa.
 
Back
Top Bottom