Mpenzi wangu sio rafiki

Mmmh pengene unaongea sana, yani humpi nafasi na yeye ya kuzungumza, coz hata mimi nikikaa na mtu anaongea kama chiriku huwa nanyamaza tu namuangalia.
Ushauri uwe unaongea kwa kiasi na yeye umpe nafasi ataongea...
 
Daah hiyo fursa nilikuwa naitafuta siku nyingi embu nipe namba yake kwa maana na mimi nina tabia kama yake, nadhani tutaendana nae au vipi
hahaha mkuu nilikuwa nina jibu kama lako,nimekosa cha kuandika. Hahaha ama kweli penye miti hapana wajenzi
 
Ukiona hajawahi hata kujamba mbele yako..hilo ni tatizo ndugu yangu,anakuficha mengi
 
Ukisikia utaishi nae kwenye shida na Raha, Ndio hii sasa chukulia udhaif wake km unavoona lkn sio kumuacha na uendelee nae, kumkimbia sio njia, unaeza kutana na mwnign ukajuta kuzaliwa ukaona afadhal huyo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…