Mpenzi wangu simuelewi sijui anamaanisha nini

Mpenzi wangu simuelewi sijui anamaanisha nini

Huu sasa ni upuuzi... Hananichukia ndo nini? Itafika mahali tutashindwa kuwavumilia


hahahaa mie nishawachoka kwakweli!sijui mwalimu wa sarufi wakat anafundisha wanakuwaga wapi!...Ee Mungu pishilia mbali kwa wanangu hii maana watajuta kuzaliwa na mm! kwa mwandiko huo lazima amchukie coz anaboa
 
Hujui kuandika ndo kosa lako jifunze kuandika ataacha kukuchukia
 
Usimjibu chochote
ni vyema na busara ukaa kimya na kuendelea kufanya mambo yako mengine,

Lakini jaribu kuangalia ni sababu / chanzo kilicho pelekea akakuambia hayo maneno yake.
Kama hakuna basi huna budi kukaa kimya.

Ushauri mzuri @19recordsstudio, unafaa kuolewa namim
 
mpenzi wa kanambia hananichukia na ataki hata kunisikia kosa silijui nifanye nini
MY FRIEND NAKUHAKIKISHIA UKIACHANA NA HUYU MWANAMKE HAKIKA MUNGU ATAKUBARIKI .......

KAMA ULIKUWA HUNA KAZI BASI UTAPATA KAZI ,

KAMA BIASHARA YAKO ILIKUWA HAIENDI VIZULI BASI KUANZIA HAPO ITAANZA KWENDA VIZULI

KAMA ULIKUWA UNALIPWA LAKI TATU MSHAHARA WAKO KWA MWEZI NAKUHAKIKISHIA BOSI WAKO ATAKUONGEA MSHAHARA HADI LAKI TANO.........

AM TELLING YOU BROTHER USE THIS FORMULA MUNGU ATAKUBALI AISEEE........

KUNA RAFIKI YANGU MMOJA ALIMALIZA UDSM ALIKAA MTAANI KARIBIA MIAKA 3 HANA KAZI NA ALIKUWA ANAISHI MAISHA YA KUDUNDULIZA.

SASA SIKU MOJA DEMU WAKE ALIMWAMBIA
"NAOMBA TUACHANE ETI HAWEZI KUISHI NA MWANAUME SURUALI YOTE HAYO KISA NA MKASA ALIOBWA HELA YA SALOON KAMA ELFU 20 NA MSELA AKAWA HANA BASI "

BAADA YA KUACHANA NA MSELA KUACHANA DEMU WAKE KAMA SAA 7 MCHANA SAA 9 MCHANA AKIWA NA STRESS ZA KUACHWA ANASHANGAA ANAPOKEA SIMU AMEITWA KWENYE INTERVIEW TRA. ....

SAIVI MSHIKAJI ANAPIGA KAZI TRA MKUU SASA HIVI YULE ANAMTAFUTA DAILY WAONGEE WAYAMALIZA AMUOMBE MSAMAHA MAPENZI YARUDI KAMA ZAMANI .
 
mpenzi wa kanambia hananichukia na ataki hata kunisikia kosa silijui nifanye nini
Muulize kwa upole kabisa ukiwa mtulivu kwanini hanakuchukia, umekosea wapi ili muyajenge sio kuchukia bila kusema tatizo!
 
hahahaha!;'hapambane' na 'itaji' lake
Hahahaha.....humenichekesha sana adi nikajihuliza umewaza nini.

Ila kusema kweli kuna uandishi mwingine unakatisha tamaa hadi kuendelea kusoma ujumbe husika aise. Halafu saizi naona ule wa kurudia herufi kwenye neno moja ndiyo umepamba moto balaa. It goes like "Mamboo MBITIYAZA naonaa upoo kama kawaidaa yakoo"
WTF????!!!!
 
wanawake watu wa ajabu sana.
mkuu,mshukuru kwa yote tu then fanya yako
 
Kuwa mpole, kubali tu hakuna namna. Mtu akishakuchoka huwa ni shida sana.
 
Ashapata kitu mupya huyooo we tembea zako ....
 
Back
Top Bottom