Mpenzi wangu nimemkuta anabebwa na 'Beach Boy'

Mpenzi wangu nimemkuta anabebwa na 'Beach Boy'

MSHINO

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,069
Reaction score
713
Wakuu nisaidieni ushauri demu wangu ninaetarajia kumuoa nimempa ruhusa kwenda beach na rafiki zake baadaye nikapita huko nikamkuta anabebwa na kijana juu kwa juu nikakasirika nikamtwanga kibao nikarudi home.

Aliporudi home nikamuuliza akajibu eti hapakuwa kitu kibaya. Kwa kifupi nimeumia sana, badala ya kunipa majibu eti amefunga bag ameondoka home eti nimemuonea.

Naombeni msaada nani ana makosa?
 
 
Achana naye, yaelekea beach boy kagusa sehemu ambayo wewe hujawahi kugusa hivyo demu kapagawa na mikito ya beach boy.
 
Back
Top Bottom