Mpenzi wangu nikufanyie nini ili uridhike?

Mpenzi wangu nikufanyie nini ili uridhike?

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,866
Reaction score
10,496
Hivi ni kutojiamini wakati wa kugegedana ama ni kutafuta kumfahamu mwenzio zaidi..
...au kuna vijiutundu unavijua ila unasita kuvitekeleza....kuridhishana kimapenzi inabidi kufahamiana na mazingira yawe yanawaruhusu kupekuana
 
Mpe fedha tu hivyo vingine hata kikiwa KIBAMIA ataridhika tu,
 
Unataka kumridhisha kwenye nini asiporidhka??
 
..hivi ni kutojiamini wakati wa kugegedana ama ni kutafuta kumfahamu mwenzio zaidi..
...au kuna vijiutundu unavijua ila unasita kuvitekeleza....kuridhishana kimapenzi inabidi kufahamiana na mazingira yawe yanawaruhusu kupekuana

Mpe hela
 
Wewe hujui ugonjwa wao njoo na funguo za vitz umkabidhi ataridhika 2!!!!
 
.......hebu jaribu "kabaang", isije kuwa seal ilishafumuliwa zamaaaani....test then uje humu kwa mrejesho....
 
..hivi ni kutojiamini wakati wa kugegedana ama ni kutafuta kumfahamu mwenzio zaidi..
...au kuna vijiutundu unavijua ila unasita kuvitekeleza....kuridhishana kimapenzi inabidi kufahamiana na mazingira yawe yanawaruhusu kupekuana

Huu uzi siuelewi!!!
Kichwa cha habari hakina uhusiano na kilochoandikwa!!!
 
Weweeeeee kuna wanawake wengine wako na mihemko speed!!! Vichwa kama makalioooooo.... Haaaaaaaa

Unampa helaaa, simu kaliii, uuuuuwiiiii....

Bado anasumbuaa, achana naeeeeeee!!! Utaharibu maisha yako kijanaaa
 
Back
Top Bottom