Mpenzi wangu ni babu wa miaka 65 hanitoshelezi, nifanyaje?

Mpenzi wangu ni babu wa miaka 65 hanitoshelezi, nifanyaje?

Nyinyi madada bwana hamueleweki aah

Mtu akikosa hela mnasema mnahiari mshiko tu so kwenye mshiko mnaweza kuvumilia
Mara mnasema muhimu mpigwe show za kufa mtu

Yaani nyinyi mmemshinda shetani tabia
 
Nyinyi madada bwana hamueleweki aah

Mtu akikosa hela mnasema mnahiari mshiko tu so kwenye mshiko mnaweza kuvumilia
Mara mnasema muhimu mpigwe show za kufa mtu

Yaani nyinyi mmemshinda shetani tabia
Hahaha hahaha uuuwi ni sheedah
 
siku nyingine usiandae mazingira ya kuombwa ushauri wa kiduanzi, anajua cha kufanya, kuna sehemu anasema akashikwa akigawa kwa serengeti mara meneja akapigwa biti as if hotel ni moja tu huko alipo, mwambie atajua mwenyewe teh teh
 
Back
Top Bottom