Mpenzi wangu kanitumbua

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,877
15,444
Wakuu kwema?

Jana mpenzi wangu alikuja gheto nikamuomba anisaidie kufanya usafi wa nyumba akakataa,nikamchapa kofi moja.

Leo kanitumia text eti mie na yeye ndio basi na wakati mimi nilikuwa namdispline tu ni haki kweli kutumbuliwa huku bado nampenda?
 
Wakuu kwema?
Jana mpenzi wangu alikuja gheto nikamuomba anisaidie kufanya usafi wa nyumba akakataa,nikamchapa kofi moja.leo kanitumia text eti mie na yeye ndio basi na wkt me nilikua namdispline tu.ni haki kweli kutumbuliwa huku bado nampenda?
 
una miaka mingapi??
 
Mtumie msg kuwa umemnunulia Note 5 lakini kwa vile hakutaki basi utaitumia mwenyewe. Atakujibu fasta bebi hutaniwi kwanza kikofi chenyewe wala hakijauma. Tafuta box tupu la note 5 akija mpe mwambie na yeye hataniwi maana hata simu yenyewe hujanunua kweli. Na baada ya hapo kama wazungu wasemavyo u will live happily ever after....
 
Sasa unampigaje kofi mwanamke hujamuoa na wala hujamtolea mahari? Je angezima pale chini ungeiambia nini mahakama?

Acheni ujinga vijana. Mwanamke ambaye hujamtolea mahari wala hujamuoa huruhusiwi kumpiga wala kumpa amri yoyote. Yeye atafanya kwa kupenda yeye na sio shuruti. Eboooooo
 
Una mambo ya mwaka 47 we uliona wapi mwanake anapigwa aiseeee kwali ww ni jipu na hakuna namna nyingine utumbuluwe tu na mm nasema utumbuluwe.
 
Back
Top Bottom