Tajirimtata
Member
- Jan 28, 2014
- 23
- 8
kuna rafiki yangu mmoja alishaniambia wanaume sisi ni mabwegeNiliachwa Jumatano nilipitia maumivu yasiyoelezeka, nilijiona sina thamani ila Ninafuraha sana mda huu jioni hii kaniomba msamaha tumerudiana and I,m So Happy,
ila nilikuwa naumia Sana ila uzuri karudi kwangu na nimeisha msamehe I hope for the best for Both Of Us. She's my Future Wife
Niliachwa Jumatano nilipitia maumivu yasiyoelezeka, nilijiona sina thamani ila Ninafuraha sana mda huu jioni hii kaniomba msamaha tumerudiana and I,m So Happy,

kuna rafiki yangu mmoja alishaniambia wanaume sisi ni mabwege

ukiwemo wewe na baba yako.Kwahiyo wewe na baba yako ni mabwege?
Niliachwa Jumatano nilipitia maumivu yasiyoelezeka, nilijiona sina thamani ila Ninafuraha sana mda huu jioni hii kaniomba msamaha tumerudiana and I,m So Happy,
ila nilikuwa naumia Sana ila uzuri karudi kwangu na nimeisha msamehe I hope for the best for Both Of Us. She's my Future Wife
Ameona thread zako za Leo nn?? Maana ulikua unazishusha kama mvua,
Yan mwanaume Una roho njepesi wewe....
Af et unajiita tajirimtata, huna utata wowote....
ILA hongera bhana
ukiwemo wewe na baba yako.
Hahaaa!