amekwambia ni ya nini?
Kuna umuhimu huo kweli?
demu wangu huyu nimekuwa
naye takriban miaka 3 sasa nimekuwa nikimpa pesa elfu 20, 50, elfu 200
siku zingine simpi kabisa namwambia hali ngumu kwa vile najua anafanya
kazi
jana kaniomba laki 2 nikastuka kwa vile hajawai kuniomba kiasi kikubwa
kama hicho nikamjibu aje tuonane vile hatujaonana miezi 5 (nilikuwa
nimesafiri) hofu yangu nikimpa atazoea kuniomba pesa nyingi
ushauri tafadhali.
kama ulishawahi kumpa elfu 200, ndo laki mbili hiyo kama hujuidemu wangu huyu nimekuwa naye takriban miaka 3 sasa nimekuwa nikimpa pesa elfu 20, 50, elfu 200 siku zingine simpi kabisa namwambia hali ngumu kwa vile najua anafanya kazi
jana kaniomba laki 2 nikastuka kwa vile hajawai kuniomba kiasi kikubwa kama hicho nikamjibu aje tuonane vile hatujaonana miezi 5 (nilikuwa nimesafiri) hofu yangu nikimpa atazoea kuniomba pesa nyingi
ushauri tafadhali.