Mpenzi wangu kanikataa live leo

Asipokuelewa hapa basi awezi kuelewa tena
 
Ishi maisha yako na yapende mkuu wala usipanick sana wengine inakuwa tu fate yenu sio sawa so hata ufanye nini mambo hayawezi kuwa sawa... Wengine tuliachwa tukajua labda pesa chanzo and even baada ya kupata pesa kidogo unaona mtu hayupo interested nawe unabaki kuumia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hapo ni pesa,hakuna mwanamke anayekataa kutoa kama unaweka mzigo wa maana,ukiwa na hela wala huombi unakuta mtoto kajinyonyoa mwanyoya anakusubiri kitandani, ww tafuta hela kwana acha maneno mengi, unaleta ujanja wa tumbili kwenye mapenzi?
 
Ni kweli pesa ndo mhimu katka moja ya matumizi ya mwanamke, japo sikuwa na pesa kivile lakini niliamua kumkazia kumpa vipesa vyangu nilipo ona ananizingua.
 
Ni kweli pesa ndo mhimu katka moja ya matumizi ya mwanamke, japo sikuwa na pesa kivile lakini niliamua kumkazia kumpa vipesa vyangu nilipo ona ananizingua.

Kuna saikolojia moja unatakiwa kuielewa. Ukishakua na hela, hua huhitaji tena kutumia hela nyingi kuwapata mabinti! Ila ukiwa huna hela, unahitaji kutumia hela nyingi sana kumpata binti.

Yaani iko hivi... wadada wana uwezo wa ku "detect" mtu mwenye hela na hua wanavutiwa tu "naturally" kuwa na mtu ambae anazo. Wazungu wanasema "money is sexy". Ukiwa huna hela, mdada akikuangalia tu anajua huna kitu ila unajaribu tu kum-impress na automatikale unapoteza mvuto kwake. Kwahiyo inabidi umhonge sana ili kununua affection yake. Lakini ukishakua nazo, utashangaa wadada unawatafuna kirahisi tu bila kuwapa senti tano. Sanasana we utakua unatumia hela ya mafuta ya gari, loji na vyakula/vinywaji tu.
 
Point
 
Point
 
Kw
Kweli bro
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…