Asante mkuu hii ndo itanifanya nitafute chuma kipya, nilikuwa namheshimu japo alikuwa hajagundua upendo wangu upo wapi na kiukweli nilikuwa nampenda lakini hakujua mwenye upendo wa dhati ni yupi, lakini nimekubali aende labda halikuwa fungu langu.Aisee Pole Sana, Umeumia kweli Mpaka Umeamua kumfungulia Uzi Mkuu
.
Unasubiri nini home boi ? Fanya Mchakato ingiza Chuma ingine kali
Mkuu una umri gani maana naona kama mapenzi ya kishule shule vile.....
Hata mimi nimehisi hivyo nimecheka tu mapenzi ya kitoto yanakuwaga na vibinti na huenda ka anna kanaliwa na wengine....
Mkuu wala sina mpango wa kutoa msamaha kuhusu hili, kumbe binti ukiwa unamshobokea anakuona bonge la fala, kweli hapa nimejifunza kutokana na makosa.Subira yako ndo iliyokupoonza, ngoja ngoja waaonekana zooba, kwa sababu ulimpenda kwelii ila yeye kakufany sehemu ya matumizi yake tu ilihali mashine imeshikiliwa na wengine, wanapinga vya ndani wewe unaambiwa subiri,
Usiruhu msamaha kwa demu kama huyo msikilizie tu siku akikuta jamaa anaepiga mzigo anadem mwingine atakuja hahaaa
Subiri na subira ukiwa na akili mkichwa,
Hivi hivi tu mkuu utaliwa kekundu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hayo mapenzi yenu ya kishule shule... Hako ka anna kanaliwa na wengine tu kijana. Vibinti vya hivyo uwa vinaliwa na wenigne kirahisi we unahudumia tu24 years old nikijana ambaye naweza kuoa na kuanzisha familia
Ila hayo mapenzi yenu ya kishule shule... Hako ka anna kanaliwa na wengine tu kijana. Vibinti vya hivyo uwa vinaliwa na wenigne kirahisi we unahudumia tu
Naamini mkuu maana kama kweli anakupenda hawezi kukufanyia mambo kama haya, akiwa na mimi ananambia kuwa sina mpenzi hapa tofauti na wewe.
Hawa mademu sitokuja kuwaamini hata kidogo.