Mpenzi wangu kanichunia

Mpenzi wangu kanichunia

ashrei brown

Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
9
Reaction score
3
Habari wana JF,nampenzi nampenda sanaa mambo yote yuko poa si mkorofi, ukiwa nae pamoja ana care..tatizo moja linaniumiza kichwa:

1.ni nadra kwake kukutakia khali iwe ni asubuhi,mchana wala usiku mpaka umuanze.unaweza kumpigia asipokee na badae ata ku sms sorry nilikuwa nimelala..au niko busy basi

2.Hajawahi kabisa kusema mpenzi wangu tutoke tuende sehemu fulani makutanio yetu ni nyumbani kwake tunamaliza mchezo ananirudisha home..kukutana tena mpaka mimi nimuanze ataniambia njoo najipeleka mwenyewe.

3.Leo ni suku 7,tangia niseme simpigii baada ya kuniahidi tutaaonana kwa issue fulan na hakuonekana nikakasirika na kumtumia sms za lawama mpenzi wangu huyu hapigi simu wala sms, namiss sana najilaumu kwanini simtafuti moyo unahangaika nashindwa nifanyeje kurudisha mawasiliano nahisi atanidharau.

Ushauri jamani.
 
hana muda na wewe huyo, kama ulikuwa unapiga pekupeku nakushauri ukapime
 
Habari wana JF,nampenzi nampenda sanaa mambo yote yuko poa si mkorofi, ukiwa nae pamoja ana care..tatizo moja linaniumiza kichwa:
1.ni nadra kwake kukutakia khali iwe ni asubuhi,mchana wala usiku mpaka umuanze.unaweza kumpigia asipokee na badae ata ku sms sorry nilikuwa nimelala..au niko busy basi
2.Hajawahi kabisa kusema mpenzi wangu tutoke tuende sehemu fulani ..makutanio yetu ni nyumban kwake tunamaliza mchezo ananirudisha home..kukutana tena mpaka mimi nimuanze ataniambia njoo najipeleka mwenyewe
3.leo ni suku 7,tangia niseme simpigii baada ya kuniahidi tutaaonana kwa issue fulan na hakuonekana nikakasirika na kumtumia sms za lawama..mpenzi wangu huyu hapigi simu wala sms ..namiss sana najilaumu kwann simtafuti moyo unahangaika nashindwa nifanyeje kurudisha mawasiliano nahisi atanidharau

Ushauri jamani..

hahahaha nimecheka kweli eti najipeleka mwenyewe lol
huyo kashakuona wewe wakugegedwa tuu...ulishadharaulika bibie. hesabu hasara tuu.
usipanue miguu yako kabla ya ndoa
 
Yaan najilaumu mpaka nahisi moyo wangu unahisi kutoboka..nashindwa kuvumilia kutokumtafuta nae hapigi du mapenzi hay
 
Habari wana JF,nampenzi nampenda sanaa mambo yote yuko poa si mkorofi, ukiwa nae pamoja ana care..tatizo moja linaniumiza kichwa:
1.ni nadra kwake kukutakia khali iwe ni asubuhi,mchana wala usiku mpaka umuanze.unaweza kumpigia asipokee na badae ata ku sms sorry nilikuwa nimelala..au niko busy basi
2.Hajawahi kabisa kusema mpenzi wangu tutoke tuende sehemu fulani ..makutanio yetu ni nyumban kwake tunamaliza mchezo ananirudisha home..kukutana tena mpaka mimi nimuanze ataniambia njoo najipeleka mwenyewe
3.leo ni suku 7,tangia niseme simpigii baada ya kuniahidi tutaaonana kwa issue fulan na hakuonekana nikakasirika na kumtumia sms za lawama..mpenzi wangu huyu hapigi simu wala sms ..namiss sana najilaumu kwann simtafuti moyo unahangaika nashindwa nifanyeje kurudisha mawasiliano nahisi atanidharau

Ushauri jamani..

hebu njoo huku PM nikushauri
 
Njoo kwangu na mimi ni hivyo hivyo! Na hizi watakuwa wanakutana hawa, ngoja tuwakomoe, pm faster!
 
Yaan najilaumu mpaka nahisi moyo wangu unahisi kutoboka..nashindwa kuvumilia kutokumtafuta nae hapigi du mapenzi hay
Dada yangu shida ni yako am talking like a man nazijua haiba za wanaume wenzangu umeji dis value we mwenyewe. Mwanamke unapaswa upendwe kwanza sio wewe upende. hayo maumivu unayoyapata ilipaswa huyo boy wako ndo awe nayo. Go and listen when a man love a woman. Mwanaume yeyote mwenye tabia kama hizo anazokufanyia huyo hana malengo yeyote na wewe zaidi ya kusukuma siku afu anaendelee na yule anayemtoa jasho trust me najua itakuuma lakini huu ni ukweli mchungu. Hapo unapotezewa muda tu. i have ever experienced such a situation siku hizi nilishaacha tabia za kupotezea muda watoto wa watu. but ninaiona kwa marafiki zangu wadada wanapiga simu hizo wanatuma hadi na pesa lakini jamaa hana hata muda saa nyingine hapokei simu makusudi huwa naumia sana najisemea kimoyo moyo hawa wadada wangejua mbaya zaidi huwa wanaachwa wakiwa wanawapenda balaa huwa wanalia machozi mpaka huruma. hebu jipime lakini kwa haiba za wanaume hapo jipime. Mwanaume kwa mwanamke anayempenda bwana we acha tu chochote kitafanywa MUNGU aliwapa hiyo power ya kutu handle ila siku hizi ni wachache wanaojua namna ya kuitumia ipasavyo.
 
Mpendwa kila ulichokisema ni sahihi kabisa . Asante sana for teaching all of us . Thanks!
 
Yaan najilaumu mpaka nahisi moyo wangu unahisi kutoboka..nashindwa kuvumilia kutokumtafuta nae hapigi du mapenzi hay

Ndugu pole sana em mtafute ujue mstakabali wenu ukoje maana duuu watu wengine hawajal wala nin hapo mnaweza maliza mwaka msitafutane........ Hizi mambo zipogo sana
 
Guys nipeni njia ya kumsahau huyu jamaa takufa na mawazo

Huwezi msahau kirahisi kama unavyotaka cha msingi omba mungu akupe ujasiri wa kumsahau hii ifanye mara tu ya kujua mstakabali wenu sawa bibie...
 
Huyu mtu unampenda sana,jaribu kuishawishi nafsi yako iache kumpenda ,usimpgie simu wala simu,inawezekana wewe ni spare tyre wake,so he is not worthy your love!

hii imesaidia wengi atasahau tu mdogo mdogo
 
pole hapo hupendwi na wala haoni umuhimu wako atakuchezea akuache kwenye mataa
 
Huyo mchuniee,halaf siku akijipendekezaa nawee mfanyie kama alivyokufanyiaaaa
 
Asee mpenzi hapigi sim haoneshi ile uthamini wako bado.upo tu na kushikilia et unampenda?? natambua unampenda kwa maelezo yako ila sasa hebu endelea kukaa kimya hivyo hivyo kama hangaiki hebu kimbia haraka sana hapo
 
Back
Top Bottom