Mpenzi wangu kaniacha ghafla bila kunieleza sababu

Mpenzi wangu kaniacha ghafla bila kunieleza sababu

Hii dunia siku hizi inabidi uangukie katika umahiri wa nyanja zifuatazo:
Pesa au perfomance ya bed au vyote.
Ukipotea hapo... Kuna chaputa... Karibu.
 
Ila mi naona labda umshukuru kwakukueleza ukweli mapema, maana pengine wakati unamtongoza alikuwa na umgomvi na mpenzi wake, hivyo labda wamepatana ndio maana ameona aamue moja kuliko kuwa na wapenzi wawili,

Mwambie asante
Hii kitu hatari sana aloo
 
Ni matumaini yangu nyie ni wazima wa afya, ni juzi tu nimejiingiza katika mahusiano na msichana mmoja hivi yapata miezi miwili lakini oversuddenly juzi tumekutana kanitamkia eti tuachane. Nilimuliza sababu anasema eti kaamua tu.

Jamani nyie wadada kwanini lakini?
Na wewe muache
 
"Oversuddenly" = "All of a sudden".

Bidada kaona isiwe tabu.


Au kirahisi zaidi ili asijikute amekosea wakati mwingine ajaribu kutumia, 'suddenly' badala ya 'all of a sudden'.

Hata wabobezi wa lugha wanashauri hivyo maana 'all of a sudden' inapendeza ikitumika kwenye mazungumzo zaidi ya maandishi na 'suddenly' inapendeza kiuandishi na ndiyo acceptable formal idiom to use.
 
Hilo libange la bob marley kwenye avart yako linaonesha ww ni mtu wa aina gani.....ukiacha matumizi ya hayo madude utaishi nao vema.
wengi watumia hii wanakuwa hawaaminiki hata katika jamii
 
Au kirahisi zaidi ili asijikute amekosea wakati mwingine ajaribu kutumia, 'suddenly' badala ya 'all of a sudden'.

Hata wabobezi wa lugha wanashauri hivyo maana 'all of a sudden' inapendeza ikitumika kwenye mazungumzo zaidi ya maandishi na 'suddenly' inapendeza kiuandishi na ndiyo acceptable formal idiom to use.
Mkuu hilo neno kweny Uzi halipo angalia vizur al watan ndokalileta
 
Back
Top Bottom