Mkuuu mtot tulitokea kupndana sema gaflaa tu mkuuu yani hapa sili,sinywi ata haja siend mkuuvipi mlifunga pingu ah nini au ulimpa moyo wwotee
Asante kwa ushaur mkuuuIla mi naona labda umshukuru kwakukueleza ukweli mapema, maana pengine wakati unamtongoza alikuwa na umgomvi na mpenzi wake, hivyo labda wamepatana ndio maana ameona aamue moja kuliko kuwa na wapenzi wawili,
Mwambie asante
Mwambie Mkuu badala kunshaur ananambia ujingaManeno ya ki yatima hayo
Kwwli Mkuu atakuwa tapeli etiiToa kitu bandika kitu mwizi yule kakosa cha kuiba kaona asonge mbele
Asante kwa kunifumbua Mkuu ila Leo kanambia eti nkamtembelee kwel jaman?Hayakuwepo mapenzi ya dhati pale.
Jirani [emoji122]Usiumie hakuwa wako... Upendo ni zaidi ya hapo!!!
Mimi naona bora uachane naye maana kashaonesha muelekeo wake ulipoAsante kwa kunifumbua Mkuu ila Leo kanambia eti nkamtembelee kwel jaman?
Jikeep busy hao viumbe somtym akili zao wanazijua wao wenyeweMkuuu mtot tulitokea kupndana sema gaflaa tu mkuuu yani hapa sili,sinywi ata haja siend mkuu
Duuhhh..... Inatosha!!! Unamuongezea stress[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huna sura
Huna shape
Huna swaga
Pesa huna
Na ukute unachomiliki ni kibamia tu
Asante kwa ushaur mkuuJikeep busy hao viumbe somtym akili zao wanazijua wao wenyewe
Acha kuwaza sana, hujui nn Muumba kakupangia, using'ang'anie sehemu ambayo haikupendi
Asante Mkuu nalifanyia kaziMimi naona bora uachane naye maana kashaonesha muelekeo wake ulipo
Yani huyu so mtuu mzur kabisa bila kujali hata hisia zang tena bado anapigilia msumariDuuhhh..... Inatosha!!! Unamuongezea stress[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poa poaAsante Mkuu nalifanyia kazi
Kuna mwenzio anamfaidi Huyo.Ni matumaini yangu nyie ni wazima wa afya, ni juzi tu nimejiingiza katika mahusiano na msichana mmoja hivi yapata miezi miwili lakini oversuddenly juzi tumekutana kanitamkia eti tuachane. Nilimuliza sababu anasema eti kaamua tu.
Jamani nyie wadada kwanini lakini?
DuhKuna mwenzio anamfaidi Huyo.
Unaonekana bado ni foolish age Ndio maana unalalamika kuachwa. Sisi matured huwa ni mwendo wa kimya kimya, unaachwa na ww unatafuta alieachwa maisha yanasonga!