mpenzi wangu kaharibika, msaada plz

anaacha kwenda kazini kwa sababu ya kuharibika ngozi?acha utani kaka,labda kama kajiajiri,kama kaajiriwa,mbona ni vigumu?!

Hata kama ameajiriwa...Kwa ajira za serikalini hata usipoenda kazini wiki moja poa tuu...
 
Sijajua hiyo lotion aliyokuwa anaitumia ila napata wasiwasi inawezekana ni zile ambazo zenye viambata vya sumu.. Akamuone mtaalamu wa ngozi..
 
Wakati anasubiri ushauri wa wataalam aache kutumia hyo lotion sababu uso utakuwa kama ameweka chuping.
 
Mtafutie dawa ya awali halafu hayo masuala ya kujipodoa mkataze anampodolea nani ampende zaidi yako? Ww piga mashine yake hiyo lotion yako unayotoa apakae
 
Apply Persol gel 2.5 kila siku usiku akishaoga wakati anataka kulala. Warning asijetumia persol gel 5.0!
 
mtafute dr ..... Pale regency atakwangua ngozi na kupima skin allegy yake na atawapa recomendation nini mtumie usimfungie ndani umesikia
 
Aache kutumia hiyo lotion, aoshe uso, anywe maji kwa wingi vitaisha tu ila maumivu yakizidi kamuone daktari...poleni
 
msikivutz kwa nini unamruhusu mpenzi wako ajikoboe? Binafsi sipo tayari kuona mpenzi wangu anajipiga brash kwa milotion ya ajabu ajabu mi mafuta ya mgando basii

naunga mkono hoja,wanawake 2meumbwa kutojiamini ktk uzuri ww mwanamme hutakiwi kumuunga mkono na kusema alikua mzr alipokua ana2mia lotion,unatakiwa uwe unamnasihi kuwa mke wangu km hujapaka k2 mbn unakua mzuri zaidi?acha kupaka napenda ualica wk,ww cndo mpz wk khy anapaka kwa ajili umuone mzuri na ww unavutiwa na ualica wk bc ata acha,lbd km anamwengine anaempakia lotion ataendelea,kuna mashara mengi ya kiafya na hy mikemikali,kama kweeli unampenda utamlinda,ushauri mwambie acpake chocgote vitaisha vyenyewe,mm nilikua navyo lkn c ksb ya lotion nilitumia kl dawa haikiusaidia bl huzidi,nikavi puuza bl kupaka chochote,baada ya vikaisha,mbona mm mpz wng hataki nichonge nyuc na kwakua naemfanyia ili anione ktk muonekano mzuri hataki bc ckua na budi niache,khy mwmbie nakupenda ivo ulivo mpz wng bl msaada wa lotion.
 
Last edited by a moderator:
tunachezea kazi sana siku hizi hapa BONGO; halafu tukipigwa bao na jamaa wa nchi jirani tunaanza kupiga mayowe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom