Mpenzi wangu hopokei simu zangu

Mpenzi wangu hopokei simu zangu

Inaumiza sana. Wanawake wako wengi kuliko wanaume. Lakini wanaume bado tunateswa kihisia na wanawake. Wangekuwa wachache halafu wanaume wengi. Mateso si yangekuwa mengi kuliko sasa?!

Ila mbaya sana. Mwanamke akiteswa kihisia na mwanaume inaumiza. Naye mwanaume akiteswa kihisia na mwanamke inaumiza. Mapenzi ni mchezo wa kijinga sana
 
Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.

Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
Hebu weka namba yake hapa tumpigie kumwambia apokee
 
Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.

Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
Nani alikudanganya ni wako hadi useme mpenzi wangu.

Huyo alikuwa mpenzi wenu
 
X= 50 Y=10 Hiyo siyo differential mkuu. Hiyo Ni Simultaneous.
Jibu ni 10. Sielewi ni kwanini nimesolve swali pasi na kuchangia mada ya mtoa mada. Kweli mimi napenda elimu zaidi kulinganisha na mapenzi

Mimi ni mfano wa kuigwa katika jamiii. Ni mimi tu na Mwl. Nyerere
Wee jamaaa nimecheka mpaka nimetoka nje hapa 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 kwahyo wewe ni bora hesabu sio mapenzi sioo ahahaha hupendi kabisa mapenzi au

Nakupa hesabu ya phy sio mda hapa
 
Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.

Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
'Simu inakatika'!

Rahisisha kuwaza kuwa, mhusika wa mimba hiyo aweza kuwa siyo wewe ni mtu mwingine.

Na simu ikipigwa ikachuchumaa bila kushika net work, huwa mara nyingi ni blockage!

Mwanamke umemuwini kwa kitumbo akublock!
Kuwa serious mkuuu!
 
Mimi simu zangu mwisho mbili hupokei utanitafuta mwenyewe ukiwa na nafasii
 
Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.

Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
Huyo ana ujauzito wa mtu mwingine, pole kwa kuingia hasara ya kumnunulia simu kubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom