Mpenzi wangu hopokei simu zangu

Mpenzi wangu hopokei simu zangu

Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.

Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
Mkuu pole, ila dalili zote zinaonyesha kuwa umepigwa na sidhani kama kweli huyo mtoto ajaye ni wako. Umechapiwa na wenzako.
 
Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.

Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
Una uhakika ni mpenzi wako?
 
Daah alafu nilikuwa nishawaambia marafiki zana na baadhi ya ndugu zang kama natarajia kupata mtoto...,, ananiumiza sana
Upo resi sana mkuu, yani wiki mbili tu ushatangazia ukoo mzima.

Huyo si ajabu hata mimba hana.
 
Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.

Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
Acha kumsumbua yuko bize na mpenzi wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom