Mpenzi wangu hopokei simu zangu

Mpenzi wangu hopokei simu zangu

Mambo madogo kama hayo huwezi ku solve ukiletewa huu mzigo wa differentiation utatoboa ww
IMG_20250519_172617.jpg
 
Jamani, naombeni ushauri. Mchumba wangu aliniambia ana ujauzito, na sasa imekuwa kama wiki ya pili tangu alivyoniambia hivyo. Nikamnunulia simu kubwa, lakini kwa takribani wiki mbili sasa hapokei simu zangu.

Sasa hivi nikimpigia, simu inakatika. Nifanyeje wakuu?
New member bhana🤔
 
Mambo madogo kama hayo huwezi ku solve ukiletewa huu mzigo wa differentiation utatoboa ww
View attachment 3339065
X= 50 Y=10 Hiyo siyo differential mkuu. Hiyo Ni Simultaneous.
Jibu ni 10. Sielewi ni kwanini nimesolve swali pasi na kuchangia mada ya mtoa mada. Kweli mimi napenda elimu zaidi kulinganisha na mapenzi

Mimi ni mfano wa kuigwa katika jamiii. Ni mimi tu na Mwl. Nyerere
 
Back
Top Bottom