Mpenzi wangu hatosheki tunapofanya mapenzi

Mpenzi wangu hatosheki tunapofanya mapenzi

Mi namudu DK 30 tu kupiga bao la kwanza hizo mia mbili ni maigizo
 
Fanya mazoezi y kutosha ili ujenge stamina. Siku ya game dk 20 kabla unaweza kununua glucose na uchanganye na maji. So ukiwa naye kunywa maji yako taratibu wakati huo unamvutia kasi. Jitahidi asinywe maji yako usijeumbuka. Maji yawe kama 1.5 liters. Then ulete mrejesho hapa.
 
makolola

Nina uhakika uko under 30, iko hivi kuna baadhi ya wanawake ngono ndio hobby yao kwahiyo zaidi ya kumuandaa hakikisha round ya kwanza haipungui 30mnts na kila unapokaribia kumaliza chomoa kisha vuta pumzi tatu ndefu kuondoa carbon kwenye mapafu kisha rudi chimbo na unapomaliza round ya kwanza nyweshea nje ya kibubu..!kwa njia hii mnyama hatodhoofika ila hakikisha umeshiba

loo mtaniiii umeniacha hoi khaaaa
 
Last edited by a moderator:
binti kakuzidi maujuzi usiwe unapump kama unashindilia mahindi kwenye gunia utamchosha mwenzio
 
ahahahahahaaaa.
Usiwe na papara
kuwa fundi kama xavi,
usiwe na papara kama hazard utachoka haraka
usiwe na uchu wa kufunga magoli kama ronaldo
jua kunyumbulika kama iniesta
usikate tamaa mapema kama rooney
usicheze kwa vurugu kama vidal au gatuso kuwa na stamina kama pogba
funga magoli ya ufundi na uhakika kama ibrahimovic
cheza faulo kwa ufundi kama pirlo, usiteleze teleze uwanjani kama gerard
cheza kwa malengo ya ushindi kama messi
usipende kupaki bus kama mourinho(romance na chumvini)
funga magoli ya vichwa kama varane.
Mwisho tembea na chaki kijana kama arjen roben

hahahahahahahaha.....du!..anaandika lakini?
 
makolola

kwahiyo zaidi ya kumuandaa hakikisha round ya kwanza haipungui 30mnts na kila unapokaribia kumaliza chomoa kisha vuta pumzi tatu ndefu kuondoa carbon kwenye mapafu

Mkuu ufafanuzi kidogo. Hapo unapovuta pumzi unakuwa umeacha kinywa wazi ama unakuwa umefunga.?!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom