mpuuze kila anachokushurtisha fanya kama hujamsikia kabisa ,act like a man ukicheza atakunya kitndani akuambie mimba hiyoooooooooo
ndugu yangu hapo kwenye read refer mwanzo wa statement yangu nilianza na neno kama ... na haikukupata shukuru Mungu... najua wapo wanaojifanya kwa kigezo cha mimba lakini mind you sio wote... mimba inamjia kila mtu inavokuja na wakati mwingine inaweza ikampata mume na isimpate mwanamke hata mtu akibisha hii nimeona live kwa my brother na mumewangu... Mume wangu alinisema sana kwenye mimba ya kwanza kuwa siwezi kujikaza na nachagua vyakula sana iliniuma sana mana indeed sikuwa najifanya na nilikonda sana kwenye mimba yangu ya pili alikuwa yeye the same kama nilivokuwa mimi mwanzo na mimi this time perfumes tu ndo zilinipa shida alihangaika hospitali na kupimwa kila kitu bila kuonekana ugonjwa hata kazini alikuwa anapata shida anakaa kidogo anaondoka akanywa madawa tofauti tofauti ... baada ya mwezi nkaanza kuhisi watu husema hivi usikute ni mimba yangu inamsumbua tukaonana na dr wa wanawake watatu tofauti maana nlikuwa sijaanza hata clinic... walikubali kuwa inaweza tokea avumilie mpk1st trimester iishe anaweza kuwa sawa... ikabidi avumilie na kweli kutapika na mazagazaga yote yakaisha baada ya mimi kumaliza miezi mitatu akawa normal na ilimuathiri alikuwa mpenzi wa nyama sana sana lakini tangu pale leo mtoto anamiaka mitatu hagusi nyama kbs... na kaka yangu kabisa yeye alipata shida mpk mke alipojifungua baada ya miezi tisa ndo akawa sawa, ila nahakika kwa mwanume ambaye haijawahi tokea anawezakubisha mpk kesho ila haya mambo yapo japokuwa wengine hupata chance ya kudeka, la msingi ni kumjua mwenza wako jinsi alivokuwa kabla ya hiyo mimba na kulinganisha mabadiliko... km ww ni mchapa kazi naamini ht iweje huwezi kujidekeza tu ufanyiwe kila kitu kisa mimba maana kila kitu ni mazoea na tabia ya mtu... watu wake zao huwa mpka wanakufa wakiwaona kisa anasema anajifanya... so ni kuwa makini sana na kubebeana hali maana wote mnahitaji kuwa wazazi... na wanaojifanyisha waangalie na sehemu ya kujifanyisha km inafaa or else ndoa itaporomoka. Ila naamini mabadiliko ya mwili husababisha mambo mengi km mtu hana mimba anaweza mchukia mtu bila sababu sembuse mwenye mabidiliko ya mwili? yinaweza tokea kabisa mtu ukawa mwingine kabisa...nina watoto watatu unaniambia niteme mate wanawake wengi wanajifanyisha sana tena kwakusikia maneno kwa watu,kudeka deka nikujifanyisha hakuna chote kinachochochea wewe umchukie mtu ,wala kubadili way of living ninachojua kinachokifu ni chakula tu hata mimi ilinitokea sinywi maji 9month wala nyama nk.mengine zaidi ya msosi ni mbwembwe tu
wanawake wengi wametumia udhaifu wa mimba kusumbua waume zao eti saa tisa usiku mtu anataka apple la SA ,heheheheheeheheh ,sitaki kukuona,oh haongei na mmewe hii imepelekea sana maeneo ya uswahilini na hata mijini waume kutoka nje ya ndoa zao sababu ya kero za mimba nina ushahidi na nina miaka mingi duniani kusema haya nimeishi na matajiri na maskini pia nimeona na nimejifunza!!!wanawake wengi ni wapumbavu kwa kigezo cha mimba wengi wamevunja ndoa na wanakuj agutuka too late.
all in all ni mentality mbovu tu za sie wanawake nakuiga hamna kitu.nafikiri ntakuwa wa mwisho kuamini hayondugu yangu hapo kwenye read refer mwanzo wa statement yangu nilianza na neno kama ... Na haikukupata shukuru mungu... Najua wapo wanaojifanya kwa kigezo cha mimba lakini mind you sio wote... Mimba inamjia kila mtu inavokuja na wakati mwingine inaweza ikampata mume na isimpate mwanamke hata mtu akibisha hii nimeona live kwa my brother na mumewangu... Mume wangu alinisema sana kwenye mimba ya kwanza kuwa siwezi kujikaza na nachagua vyakula sana iliniuma sana mana indeed sikuwa najifanya na nilikonda sana kwenye mimba yangu ya pili alikuwa yeye the same kama nilivokuwa mimi mwanzo na mimi this time perfumes tu ndo zilinipa shida alihangaika hospitali na kupimwa kila kitu bila kuonekana ugonjwa hata kazini alikuwa anapata shida anakaa kidogo anaondoka akanywa madawa tofauti tofauti ... Baada ya mwezi nkaanza kuhisi watu husema hivi usikute ni mimba yangu inamsumbua tukaonana na dr wa wanawake watatu tofauti maana nlikuwa sijaanza hata clinic... Walikubali kuwa inaweza tokea avumilie mpk1st trimester iishe anaweza kuwa sawa... Ikabidi avumilie na kweli kutapika na mazagazaga yote yakaisha baada ya mimi kumaliza miezi mitatu akawa normal na ilimuathiri alikuwa mpenzi wa nyama sana sana lakini tangu pale leo mtoto anamiaka mitatu hagusi nyama kbs... Na kaka yangu kabisa yeye alipata shida mpk mke alipojifungua baada ya miezi tisa ndo akawa sawa, ila nahakika kwa mwanume ambaye haijawahi tokea anawezakubisha mpk kesho ila haya mambo yapo japokuwa wengine hupata chance ya kudeka, la msingi ni kumjua mwenza wako jinsi alivokuwa kabla ya hiyo mimba na kulinganisha mabadiliko... Km ww ni mchapa kazi naamini ht iweje huwezi kujidekeza tu ufanyiwe kila kitu kisa mimba maana kila kitu ni mazoea na tabia ya mtu... Watu wake zao huwa mpka wanakufa wakiwaona kisa anasema anajifanya... So ni kuwa makini sana na kubebeana hali maana wote mnahitaji kuwa wazazi... Na wanaojifanyisha waangalie na sehemu ya kujifanyisha km inafaa or else ndoa itaporomoka. Ila naamini mabadiliko ya mwili husababisha mambo mengi km mtu hana mimba anaweza mchukia mtu bila sababu sembuse mwenye mabidiliko ya mwili? Yinaweza tokea kabisa mtu ukawa mwingine kabisa...
unajua wasomi wanasema "no research no right to speak" na kwenye kufanya research inawezekana sampling zikawa tofauti na report zisifanane japo kuwa case study ilikuwa moja tukifika kwenye opinion kila mtu anajimwaga kivyake kulingana na report alonayo... so hapo ndo tunapotofautiana na ndo maana sijakupinga maana research yako imekupa majibu hayo. usjieacha tu my dia kumsaidia utakayemkuta kwenye anga zako ukadhani anajifanya kumbe ukute ana shida kweli.yawezekana hiyo ikawa report ya research yako. good day Niveaall in all ni mentality mbovu tu za sie wanawake nakuiga hamna kitu.nafikiri ntakuwa wa mwisho kuamini hayo