Mpenzi wangu hataki mdogo wake wa kike anitembelee

Mpenzi wangu hataki mdogo wake wa kike anitembelee

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,374
Eti wadau hii imekaaje? Mpenzi wangu amenipiga katazo kwamba asisikie nimeuita mdogo wake kwangu kunitembelea.

Mimi nmemshangaa as huyo mdogo wake (WAKIKE) tangu aje mjini hajawahi nitembelea ata mara moja...sasa hii imekaa sawa kweli as ma mm nmemmisi shem wangu??
 
Kawimbo ka man fongo kanamtatiza,Tunakulagaaaaa................!
 
Dj naomba uweke wimbo Wa Manfongo please.....
 
Sioni kosa hapo na hivi ni wapenzi hushindwi kuwagonganaisha.
Halafu huyo mdogo wake kwako anakuja kufanya nini?Anatakiwa akija aje na dadake au dadake ndo amlete sio ajitoe huko ajilete sio adabu
Halafu unaoneka hujatulia yaani hupitwi hivo anaogopa usijepita na mdogo wake ukawachanganya.
 
Badili tabia yako kwanza maana inaonekana wewe haunaga ushemeji
 
Kwnn akutembelee??

unataka nn kwake??
 
Hiv kale kamwambo kanaitwajee maarufu sana mjin hapa siku hz
 
Very good question.

Back
Top Bottom