Mpenzi wangu hataki kulala kwangu kisa sijamuoa

Mpenzi wangu hataki kulala kwangu kisa sijamuoa

Nimepata mpenzi wangu mzuri sana na ninampenda na yeye anañipenda

Tatizo hataki kuja kulala kwangu mpk nimuoe

Hili kwakweli linaniuma sana
Nisaidieni ushauri !!
Ushauri kwako ni kuhakikisha unatoa mahari na kukamilisha taratibu za ndoa mapema ili aje kwako kihalali. Akija kabla ya ndoa kuna uwezekano mkubwa kuwa mtazini. Hii ni dhabi, ikimbie.
 
Back
Top Bottom