[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muoe utalala nae hadi uchoke uhamie kwa mchepuko.
Ana usahihi gani sasa kama anatoa....Huu aidha ni mgomo baridi ili aolewe ama ana mtu anayelala naye.Yuko sahihi kabsa
Umejuaje kama anatoa?Ana usahihi gani sasa kama anatoa....Huu aidha ni mgomo baridi ili aolewe ama ana mtu anayelala naye.
-Ingekuwa maadili asinge zini.
Nimeambiwa na mtoa madaUmejuaje kama anatoa?
Ni Kweli kabisa. Asitake kufanya dhambi kuwa jambo la kawaida.Dada mwenye malezi mazuri hafanyi huo ujinga.
Anachokifanya mpaka sasa ni makosa, bado kaenda mbali zaidi na kutaka kumlaza kwake pasipo idhini ya walezi wake, mwisho wa siku akimchoka anamwacha kwa kisingizio cha tabia mbaya.Ni Kweli kabisa. Asitake kufanya dhambi kuwa jambo la kawaida.