MpeNimemchunguza kama anamchepuko nimejilizisha hana, nimeenda kwa docta kasema njia za uzazi wa mpango zina changia mwanamke kutojisikia kufanya tendo, nimeenda kwa mganga wa jadi kaniambia ana jinni mahaba linamtumia kanipa hadi dalili za mtu mwenye jinni mahaba kama nataka kuamini ni za kweri pasina shaka mganga kasema inabidi atolewe, nimerudi hom kumuuliza wife kwanini hajisikii kufanya tendo kajibu anajikuta tu hana hisia, na leo nimekuja jamiiforums nisome mchango wenu na mbinu zenu ili nichukue hatua moja wapo, kuacha kutumia njia za uzazi wa mpango, au kwenda kwa tawile akamtoe jinni mahaba, au kumfukuza arudi kwao nioe mwingine haya leteni mbinu mwamba nitoe maamuzi
Mpe Hela kaka,atakuwa mpaka vya chumbaniiii.....mpe Hela kakakmi mwenyewe hamu zikikataga mme wng akinipa Hela kiharage kinarukarukaaaaa
Ndo nini umeandika hapa.ni mpenz na mke wangu nalala nae na kuamka nae every day for masaa 24 in ze mwaka foo yeaz ago time
jini wake ni weweNimemchunguza kama anamchepuko nimejilizisha hana, nimeenda kwa docta kasema njia za uzazi wa mpango zina changia mwanamke kutojisikia kufanya tendo, nimeenda kwa mganga wa jadi kaniambia ana jinni mahaba linamtumia kanipa hadi dalili za mtu mwenye jinni mahaba kama nataka kuamini ni za kweri pasina shaka mganga kasema inabidi atolewe, nimerudi hom kumuuliza wife kwanini hajisikii kufanya tendo kajibu anajikuta tu hana hisia, na leo nimekuja jamiiforums nisome mchango wenu na mbinu zenu ili nichukue hatua moja wapo, kuacha kutumia njia za uzazi wa mpango, au kwenda kwa tawile akamtoe jinni mahaba, au kumfukuza arudi kwao nioe mwingine haya leteni mbinu mwamba nitoe maamuzi
Itakuwa Yente Mkuu..ngoja nijaribu vipi nikimpandisha daraja awe bimkubwa?
with creative stayles targeting imotional angles, peleka motroo slow but sure, speed and standard scratch them wisely, softly, swiftly and slowly...Nimemchunguza kama anamchepuko nimejilizisha hana, nimeenda kwa docta kasema njia za uzazi wa mpango zina changia mwanamke kutojisikia kufanya tendo, nimeenda kwa mganga wa jadi kaniambia ana jinni mahaba linamtumia kanipa hadi dalili za mtu mwenye jinni mahaba kama nataka kuamini ni za kweri pasina shaka mganga kasema inabidi atolewe, nimerudi hom kumuuliza wife kwanini hajisikii kufanya tendo kajibu anajikuta tu hana hisia, na leo nimekuja jamiiforums nisome mchango wenu na mbinu zenu ili nichukue hatua moja wapo, kuacha kutumia njia za uzazi wa mpango, au kwenda kwa tawile akamtoe jinni mahaba, au kumfukuza arudi kwao nioe mwingine haya leteni mbinu mwamba nitoe maamuzi
nimpe huduma nimpelekee moto dah kwamba mi dunian nimekuja kutimiza ndoto za mwenzangu sio mimi zangu atanitimizia nani kama ni hivyo bora kuungana na donedrake na yule mwenzake wa kataa ndoawith creative stayles targeting imotional angles, peleka motroo slow but sure, speed and standard scratch them wisely, softly, swiftly and slowly...
hiyo ndinga mbona inawaka...
usiguseguse tu,
wamama wengine moto wa ukeni na kisaikolijia uko mbali sana kutokana na aina ya mahangaiko ya maisha ni mgumu kuwaka kama kuni mbichi vile,
ila ukiwaka sasa, kuuzima inahitajika pumzi haswaaa...
huenda huwa unamkwaza apo,
unampandisha Mori na dk mbili zako akati moto wake unawaka na anataka wewe mshedede unagoma kushika network..
Unamuumiza, unamkwaza sana. Hatamani tendo tena ..
Check uwajibikaji wako kwenye hilo...