Hilo ni tatizo la kiakili linaitwa female orgasmic disorder ambalo linatakiwa liwe na vigezo vya kuwa ugonjwa wa kiakili
A. Kama ana dalili zifuatazo
1. Kuchelewa kufika kileleni, uchache was kufika kileleni au kutokufika kileleni kabisa
2. Kupungua kwa hisia wakati wa kufika kileleni
B. Hizo dalili za A hapo juu ziwe zmeajitokeza kwa muda kuanzia miezi 6
C. Dalili za A juu kama zimeathiri maisha yake ya kila siku (maisha yamebadilika kutokana na hilo tatizo mfano shughuli zake kukwama)
D. Hilo tatizo lisiwe limechangiwa na tatizo la kiakili linalohusiana na sexual au lisiwe limechangiwa na matatizo ya mahusiano ( mfano sauti ya mpenzi wako
Sio yeye peke yake
According to American Psychiatric Association (APA)
Kwa makisio ya 10% ya wanawake hawajawahi kufika kileleni maisha yao yote
Vitu vinavyochangia
1 sababu za saikolojia kama woga wa kupata mimba
2. Mazingira kama afya ya mwili, matatizo ya akili, matatizo ya mahusiano
3. Genetic ( kurithi) pia kuna dawa zinazo zuia kufika kileleni mfano dawa zinazotumika kutibu sonona (depression) ambazo zipo kwenye kundi linaloitwa serotonin selective reuptake inhibitor (SSRI)
By. Psychiatric nurse
Sent using
Jamii Forums mobile app