Mpenzi wangu hafiki kileleni

Mpenzi wangu hafiki kileleni

Nawasalimu ndugu wana jamii forum.

Niende moja kwa moja kwenye mada nina mpenzi wangu hafiki kileleni ,mara ya kwanza nilidhani labda namkosea lakini kila nilichojaribu bado niligonga mwamba.

Nilijaribu kufanya maandalizi kwa muda wa dakika 20 hadi 40 lakini haloani na wala tukiwa kwenye mtanange hafiki .Tuna mwaka mmoja na nusu sasa mimi naenda hadi vinne kwa siku lakini yeye hamna kitu.

Nikaanza kupaniki siku moja nikamuuliza kama kwenye mahusiano yake yaliyopita aliwahi kufika kileleni akasema aliwahi mara moja tu.

Hajafanyiwa tohara wala nn. Nisaidieni nifanyaje kwani kwenye mahusiano yangu yaliyopita walikua wanafika kileleni zaidi ya mara moja kwa round lakini kwa huyu nimeshindwa hata cha kufanya.
Hebu nikusaidie kazi mkuu. Akifika nikupe vizuri mbinu zilizomfikisha.
 
Zama uvinza (chumvini)

Huko asiposkwit nitafute.

Mara nyingi maandalizi ya kisaikolojia na amani ya moyo humfanya mwanamke awe na utayari wa kukojozwa.

So rudi stage one uanze upya.

Kila la heri.
 
Mmmh labda ana mambo mazito yanamsumbua kichwani
Labda ana historia mbaya juu ya mapenzi
Labda hormones zake hazipo sawa
Labda haumpi hela
Labda hakupendi...
Labda...........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawasalimu ndugu wana jamii forum.

Niende moja kwa moja kwenye mada nina mpenzi wangu hafiki kileleni ,mara ya kwanza nilidhani labda namkosea lakini kila nilichojaribu bado niligonga mwamba.

Nilijaribu kufanya maandalizi kwa muda wa dakika 20 hadi 40 lakini haloani na wala tukiwa kwenye mtanange hafiki .Tuna mwaka mmoja na nusu sasa mimi naenda hadi vinne kwa siku lakini yeye hamna kitu.

Nikaanza kupaniki siku moja nikamuuliza kama kwenye mahusiano yake yaliyopita aliwahi kufika kileleni akasema aliwahi mara moja tu.

Hajafanyiwa tohara wala nn. Nisaidieni nifanyaje kwani kwenye mahusiano yangu yaliyopita walikua wanafika kileleni zaidi ya mara moja kwa round lakini kwa huyu nimeshindwa hata cha kufanya.

DOGO ACHA ZINAA NI DHAMBI
MRUDIE MUNGU, FANYA IBADA SANA, TUBIA/JUTIA UZINZI ULIOUFANYA, THEN FUNGA NDOA KWA MUJIBU WA IMAN YAKO.
 
Duu hii kitu hata wife anayo lkn haina noma hapa ni kutafuta mchepuko tuu.
 
Mwambie Aliraaaaaaaaaax orgasm comes when there is a lot of mind relaxation. Muulize kama anadaiwa vikoba au alibakwa enzi za nyuma.
 
Hilo ni tatizo la kiakili linaitwa female orgasmic disorder ambalo linatakiwa liwe na vigezo vya kuwa ugonjwa wa kiakili
A. Kama ana dalili zifuatazo
1. Kuchelewa kufika kileleni, uchache was kufika kileleni au kutokufika kileleni kabisa
2. Kupungua kwa hisia wakati wa kufika kileleni

B. Hizo dalili za A hapo juu ziwe zmeajitokeza kwa muda kuanzia miezi 6

C. Dalili za A juu kama zimeathiri maisha yake ya kila siku (maisha yamebadilika kutokana na hilo tatizo mfano shughuli zake kukwama)

D. Hilo tatizo lisiwe limechangiwa na tatizo la kiakili linalohusiana na sexual au lisiwe limechangiwa na matatizo ya mahusiano ( mfano sauti ya mpenzi wako

Sio yeye peke yake
According to American Psychiatric Association (APA)
Kwa makisio ya 10% ya wanawake hawajawahi kufika kileleni maisha yao yote

Vitu vinavyochangia
1 sababu za saikolojia kama woga wa kupata mimba

2. Mazingira kama afya ya mwili, matatizo ya akili, matatizo ya mahusiano

3. Genetic ( kurithi) pia kuna dawa zinazo zuia kufika kileleni mfano dawa zinazotumika kutibu sonona (depression) ambazo zipo kwenye kundi linaloitwa serotonin selective reuptake inhibitor (SSRI)

By. Psychiatric nurse

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu jibu hili hapaa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mpaka umefikia hatua ya kutokujua hafiki kileleni ilikuaje.. alikwambia humfikishi!? au ilikuwaje!? ilikuwaje mpk mkaanza kumjadili ex wake kuwa ndo aliwahi mfikisha... hio relation imeanza kufifia be care!!
 
Back
Top Bottom