Chebe17
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 275
- 67
Huwashwa sana sehemu za chini, alishaenda kupimwa hakukutwa na ugonjwa wowote, hii humtokea mara moja moja saana, ila hanuki hata kidogo. na nimsafi sana wa huko chini, ila akiwa katika hali hiyo akisha pata bao kunanyamaza kuwasha. jee hii ni kawaida kwa wanawake woote?