Travis samwel
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 215
- 42
mwambie kila binadam huwa na swaga zake kabisaaaaaaa na tabia zipo tofautiii so ww mwambie akuzoeeeee 2
sio mzungu ila kakulia mji wa kitalii,hivyo amekaa sana na wazungu
zanzibar na arusha kafanya sana kazi ya hotelia
Uongo at work
Hahaha mamafacebook umeniacha hoi...ila mkuu fwata yako stand by urself n principles u r a man Ala!!
Fuga si babaafacebook kasema. Wewe chakufanya niku dai matunzo ya unywele. Ata kwambia mwe nyewe nyoa
Baba fb unamjua au unamskia wewe
Baba fb unamjua au unamskia wewe
Hivi kweli kijana wangu anijie nyumbani na rasta kisa kashauriwa na demu;
sijui hata itakuwaje hapo.