Hahahaaaa kwan wew hupendi rasta looo!!!
sio mzungu ila kakulia mji wa kitalii,hivyo amekaa sana na wazungu
Wadau ,mimi ni kidume nina mpenzi wangu anasema yeye anapenda nifuge rasta bila hivyo hata jihisi vizuri maana alishawahi kuwa na boyfriend kabla ambaye alikuwa mfuga rasta baadae wakamwagana mazima, akaumia sana sasa anasema mimi ndio nimeponya majeraha yake ya moyoni nifuge rasta ili furaha yake yote ya moyoni irudi.
Sasa mziki unakuja kwenye ukoo wetu,heshima niliyonayo kwa ndugu na marafiki,ninavyofahamika kanisani na kazini ninakofanya kazi,leo wanione nafuga rasta sijui watanioneja?maana mi sizifeel kabisa kuwa kama ni urembo na ninaona nitaonekana kituko. au wadau mnanishaurije?
Aisee mkuu makolola, pole sana kwa kutokuwa na mwenza bali unakiwiliwili chake tu na moyo wake haupo kwako! Anasema umeuponyesha moyo wake wakati anakiri mpaka sasa hana furaha mpaka pale utakaposuka rasta kama bwana wake? For sure mpaka sasa unaye huyo mwanamke kwa sababu anahitaji kampani tu baada ya kuachwa na jamaa hivyo kuji-feel mpweke! Najua mpaka sasa hana uhakika kama anakupenda! Think out the box and be a man!Wadau ,mimi ni kidume nina mpenzi wangu anasema yeye anapenda nifuge rasta bila hivyo hata jihisi vizuri maana alishawahi kuwa na boyfriend kabla ambaye alikuwa mfuga rasta baadae wakamwagana mazima, akaumia sana sasa anasema mimi ndio nimeponya majeraha yake ya moyoni nifuge rasta ili furaha yake yote ya moyoni irudi.
Sasa mziki unakuja kwenye ukoo wetu,heshima niliyonayo kwa ndugu na marafiki,ninavyofahamika kanisani na kazini ninakofanya kazi,leo wanione nafuga rasta sijui watanioneja?maana mi sizifeel kabisa kuwa kama ni urembo na ninaona nitaonekana kituko. au wadau mnanishaurije?
Aisee mkuu Kozo Okamoto umemaliza kabisa kile nilichokuwa nimekiona kwenye kisa cha jamaa yetu! Huo ndio ukweli!impersonation.kifupe hakupendi,amechizika na huyo ex wake so kwa kuwa anammis anataka awe anamuona kupitia kwako.yaani awe karibu na mtu ambaye anafanana fanana na ex wake.huna chako hapo mkuu.
pia chunguza kama huyo mtu wako anatumia kijiti chenye ganzi,aka jani lenye utitiri aka weed aka marijuana aka shada aka ........
Niko pamoja na wewe mdau....Life's hard. It's even harder when you're stupid #just sayingUsifanye chochote kile ambacho wewe mwenyewe hukipendi ili kumridhisha mtu mwingine hata kama ni MUPENZI.
Drama Queen with another Episode. ..what next..?
Tatizo wala sio rasta ila hivyo vijisharti vyake sasa kama anawazimikia marastafari si shida hiyo na ninawasiwasi huyo demu atakuwa alionjeshwa cha Arusha na huyo rasta wake wa mwanzo ndo mana akili zake zipo hivyo.,