Mpenzi wangu anatafuna meno usingizini

Ukiona anatafuna jaribu kumuwekea shuka mdomoni uone kama akitafuna basi jua kuwa huyo ni zombie
 
Aliomba kuja kulala kwako kwani kwao hakuna vitanda?kisha wewe kabisa ukamuacha alale fofofo akitafuna meno badala umuonyeshe tofauti ya kulala kwao na kulala kwa mwanaume,sometimes hakuridhika akafanya makusudi ili uamke ushughulike..mkuu next time akija mning'inize kisawa sawa kama kulala akalale kwao.
 
ukiona hivyo jua wakati bado kachanga alikuwa analishwa mahindi ya kukang'wa utotoni ko anaota anatafunaa miakaa 100
 
Hyo tabia ipo sana kwa watumiao vilevi,hvyo chunguza kwanza kama anatumia vileo vyovyote
 
 
Mzibe pua wakati anafanya tendo hlo mpaka afurukute hii ndio dawa ya anaetafuna meno au kukoroma,rudia tendo hlo mara kwa mara mpaka akome.
 

Inaelekea mpenzi wako anastress na hiyo hupelekea kuhangaika usiku kwa kusaga meno. Kama ambavyo mdau
mmoja alivyoshauri hapo juu ni vyema umpeleke mpenzi wako kwa dentist ili ampatie vifaaa vya kuweka mdomoni
ili kuzuia msuguano huo maana unaweza mletea matatizo makubwa ya meno siku za baadae.

Aidha, ongea nae ujaribu kutafuta suluhisho la stress zinazomkabili. Yeye mwenyewe inawezekana hajui kama anastress
hivyo anaweza kata kwamba hana stress. Hata suala la wewe kupata mambo kila siku halafu huzungumzii biashara
ya ndoa inaweza kuwa inampa stress pia.
 
Bora huyo,usiombe ukutane na demu anayelala macho wazi,kaz kwelikweli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…